Risasi zarindima Arusha

Risasi zarindima Arusha

Jamani Crashwise yuko wapi!? Mpaka sasa tungekuwa na taarifa inayoeleweka! Thy God bless Tz!
 
Hamna aliyepata updates zozote mpaka muda huu wakuu atujuze kulikoni?
 
Haupo mbugani wewe? Isje kuwa wanaua tembo.

Kwani Kinana yuko wapi leo? Inawezekana Tembo wetu wanaondoka mmoja baada ya mwingine. Mungu saidia wajukuu wangu waone Tembo Tanzania. Chini ya Kinana na CCM yake naona tembo itakuwa kama dinaso huko Iringa (Ni historia tu)
 
Jamani Crashwise yuko wapi!? Mpaka sasa tungekuwa na taarifa inayoeleweka! Thy God bless Tz!
Halo mkuu bado hujalala? Mi nipo napata moja baridi moja moto,hao wazee wa A Town wapo kazini.
 
Ni mazoezi yanafanyika ya Kuvamia Moja wapo ya Poli kwenda kuua wale Ng'ombe wakubwa na kuchukua pembe
 
Nipo mitaa ya Bondeni, hapa tupo shwari, mishemishe zinaendelea, tunajiandaa kuangalia UEFA, sijajua pande nyingine za jiji.
 
watakuwa walitafuta jambazi sugu lililojificha kwenye kivuli wa siasa
 
Hakuna kitu kama hicho hapa mujini watu tunakula bata shwali kabisa labda uko leguruki mkuu ndiyo kuna risasi
 
Dentist Kinana yuko kazini. Anang'oa tembo wetu "magego"
 
Babu anasimikwa uPadri kwa mara ya pili.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom