Risasi zarindima Arusha

Risasi zarindima Arusha

Taarifa niliyopata toka kwa mtu wa uhakika ni kwamba sauti hizo zimetokea maeneo ya moshono stendi ambapo kuna hoteli/club imezinduliwa ambapo kumepigwa/kuwashwa fataki,ila ni makosa makubwa kufanya hivyo bila kutoa taarifa
 
Huyu Dalai Lama atakuwa amesikia kama sio Boda boda zinazorindima na Milio kama ya Marisaa.. Basi itakuwa Transfoma ya jirani.. Pole sana.
 
Utakuwa mgeni arusha nilip ya risasi Ni kama honi za magari
 
Sorry wakuu kuwasumbua, nilikuwa natest vyombo vyangu vipya isijekuwa vina hitilafu. Please relax. Kumbe hata nikijamba nitakuta mmeshapost hapa?
 
Taarifa niliyopata toka kwa mtu wa uhakika ni kwamba sauti hizo zimetokea maeneo ya moshono stendi ambapo kuna hoteli/club imezinduliwa ambapo kumepigwa/kuwashwa fataki,ila ni makosa makubwa kufanya hivyo bila kutoa taarifa

Ile hoteli ni ya mwekezaji gani? make ni Bonge la kitu, kama ndo hiyo hongera zao hao wajasirimali
 
kama ni fataki zisizo na taarifa basi sishangai ya buseresere maana hii nchi sasa kila mtu ana himaya yake
 
Taarifa niliyopata toka kwa mtu wa uhakika ni kwamba sauti hizo zimetokea maeneo ya moshono stendi ambapo kuna hoteli/club imezinduliwa ambapo kumepigwa/kuwashwa fataki,ila ni makosa makubwa kufanya hivyo bila kutoa taarifa

Taarifa apewe nan sasa wewe? Ama wanausalama mkuu..
 
Kikosi cha Ritz na chama kipo tayari wakati wowote lete hoja yenye mshiko upewe majibu

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama, makamanda wakiona tumetia timu magwanda yote yatoka jasho.
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy,

Tupe habari za Arusha vipi kimenuka.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa nilizothibitisha ni kuwa ni kishindo cha mafataki na risasi kupigwa hewani kule moshono kuashiria ufunguzi wa club cha usiku ambacho yule mama wa EOTF ana hisa mle.
 
Back
Top Bottom