Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,896
Ha ha ha ha, we jamaa una roho mbaya kweli!huwezi kushuka kutafuta more info
Ha ha ha ha, we jamaa una roho mbaya kweli!huwezi kushuka kutafuta more info
KIJO BI SIMBA, CHADEMA Mko wapi, watu wenu WANAPIGWA RISASIMuda huu hapa mnazi mmoja, mtu mmoja amepigwa risasi na askari, na wengine wawili wamekamatwa, yaonyesha hawa watu ni majambazi. niko juu kwenye jengo la ushirika nimeona picha nzima ilivyo.
Muwe mnaangalia tarehe na mwaka wa thread , Acheni ukilazaKIJO BI SIMBA, CHADEMA Mko wapi, watu wenu WANAPIGWA RISASI