Risasi ya Kichwa

Kweka hajakosea,
Kweka hajakosea,
Kweka Baba hujakosea.

Umekosea mambo mawili tu

1.Ukitaka kumtanguliza mtu makao ya milele usiue Kwa mikono yako, mwenyewe,hata kama Una hasira kiasi gani shusha pumzi ,pumua taratibu kisha amua (Linda Uhuru wako na Uhuru wa kizazi chako)

2kosa la mwisho................sisemi unaendaje JELA kizembe...au Kweka siyo born town?
 
Ulichoandika ni sahihi kasoro kuhusu connection ya PM, MaCCM lolote baya liwakute.
 
Wanaume wengi huwa hawana uvumilivu kwenye ndoa hasa akiona anafanya usaliti mwenzie anaona afu anapuuzia, alafu mjue mwanamke aliyeamua kuolewa akazaa watoto zaidi ya wawili afu eti awe msaliti wa mapenzi labda kama alikuwa malaya kama malaya wengine!
Speaking from my experience mume wangu alivoona nampotezea na mambo zake hata akae wiki huko simuulizi, akipiga simu ntapokea kama kuna hitaji lolote ntamwambia bila kumuuliza uko wapi au kwanini haurudi alipata hasira sana akaanza wasiwasi bila sababu kuna wakati atakuja apark gari paleee anakuja ananyata anaruka ukuta anakaa dirishani kusikilizia lakini waaapi😀😀 akaanza kuniambia kuna mwanaume anakudanganya nkamuuliza ni yupi yule? Ananiambia haiwezekani usiniulizie hata usiwe na wivu na mimi😀😀 heee nkasema we kaka yaani mie niumie kwa maamuzi uloamua mwenyewe? Alikuwa akipiga simu usiku wa manane hapo yuko kwa mchepuko akiskia sauti ya usingizi anauliza unalalaje hujui mumeo yuko wapi😡
Nikamzoea kabisa wakati mwingine atakuja hadi na condoms zimetumika kaekewa mfukoni nazikuta namuwekea pale akija anazikuta ayayaaa siku hiyo alisema ntakuua humu ndani iweje ukute yote haya na usiniulize nkamwambia ya nini nijisumbue kukupigia simu na akati ukirudi utakuta mzigo wako?
Hasira zilizidi neno kukuua lilikuwa haliishi mdomoni anatishia naenda wanaeka lock up asubuhi anatoka nkaona hii bastola itaja niua ivi ivi aaghhhr ni mengi yalienda hata ntajaza kitini nikachoka nkaondoka zangu huyooo saivi ndo sasa anaanza kujirudisha natalaka tushapeana ndo kuniambia ivi kweli Sweet16 ulishindwa kunisamehe mpaka kunipea talaka🤣🤣🤣
Ngeng'ang'ania ndoa nahisi ngeshakufa afu wakati huo akiwa humu mjini hana safari ya kuhitaji silaha mie ndo nabaki najua naieka wapi humo chumbani afu ije iniue woooii.
On top of that kuna ka ugomvi kalijitokeza pia japo yeye hakutaka umiliki ila alinishawishi nibebee mkopo nyumba yangu (hii alinikuta nayo) nkamuiliza how come nikuchukulie mkopo kwa nyumba yangu na unazo zako? Hapo hasira ilizidi ila nia yake niliigundua ilikuwa baaada ya hapo mkopo usingerejeshwa nyumba iuzwe.
Akani shawishi sana uza viwanja basi afu tununue kwa pamoja nkatia kamgomo ila si kwa kisirani ni kwa ujanja wa kukwepa kwepa tuuu coz nshaona red flags kama zote ikaishia ivo sasa kwenye ugomvi alikuwa lazima ataje unajidai kwakuwa una hiki, namuuliza mume wangu mbona akati naolewa vilikuwepo na katika ugomvi tulionao ni wapi nimetaja kumiliki kitu flani? Yaani ilikuwa gubu tu mtindo mmoja....
 
Inategemea vile tu mnaishi na mlivozoeshana......mie asubuhi mtu haniamshi kufanya penzi aisee 😝😝
Niliwahi kusikia kuwa mwanamke fanya makosa yote lakini siyo kumnyima mwanaume cha asubuhi, akili zikimruka anafanya chochote
 
Ulichoandika ni sahihi kasoro kuhusu connection ya PM, MaCCM lolote baya liwakute.
"Maccm lolote baya liwakute"

Mbona wakati watu wanakufa October 29 Emanuel Nchimbi alikua kiongozi mtiifu Ccm.

Now amepata baya kila siku tunasoma nyuzi za watu kumuulizia "shujaa" wetu yuko wapi??

Now ushajua reasoning ya Watanganyika??
 
Uko sahihi mkuu Mbunye ikianza kuliwa nje ile ni dharau moja hainaga samahani Hasira zinazaa hasara
 
"Maccm lolote baya liwakute"

Mbona wakati watu wanakufa October 29 Emanuel Nchimbi alikua kiongozi mtiifu Ccm.

Now amepata baya kila siku tunasoma nyuzi za watu kumuulizia "shujaa" wetu yuko wapi??

Now ushajua reasoning ya Watanganyika??
Nchimbi anaweza kuwa Sauli wa Tarso aliyegeuka kuwa Paulo.
 
Uko sahihi mkuu Mbunye ikianza kuliwa nje ile ni dharau moja hainaga samahani Hasira zinazaa hasara
Huo mbunye sio wa kwako, ni wa mwenye mbunye na anaweza kuitumia vyovyote anavyotaka kwa sababu wewe sio mmiliki wake.
 
Simu zikichunguzwa vizuri, mahusiano nje ya ndoa yanaweza kuwa chanzo.
 
Huo mbunye sio wa kwako, ni wa mwenye mbunye na anaweza kuitumia vyovyote anavyotaka kwa sababu wewe sio mmiliki wake.
Unaongea kirahisi tu mkuu. Kwahiyo mke wako ukigundua analiwa nje utatake easy sababu mbunye ni yake? 😂
 
Ni vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.

Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta ma
 
Kabisa inabidi lifanye tathmini na kurekebisha Sheria ya mpaka kifo kiwatenganishe, kuna haja ya kuwa na makubaliano ya kuvunja ndoa za kikristo maana hawa viumbe tulioumbiwa hatujui waliongea nini na nyoka.Tusipoangalia kanisa litabaku na wachungaji na mapadre maana tutaishia kubadilishana majengo ya serikali kisa hawa viumbe
 
Kabisa inabidi lifanye tathmini na kurekebisha Sheria ya mpaka kifo kiwatenganishe, kuna haja ya kuwa na makubaliano ya kuvunja ndoa za kikristo maana hawa viumbe tulioumbiwa hatujui waliongea nini na nyoka.Tusipoangalia kanisa litabaki na wachungaji na mapadre
 
Hakuna sababu yoyote inayozidi uhai wa binadamu.Ukiona mtu kaua direct huyo alishapanga sio hasira.Kwani wanaodai talaka hawana akili hadi wewe ufikiri kuua tu kama suluisho la kuondoa tatizo.Haya kaua Dada wa watu hana maumivu amepumzika maumivu yamebaki kwake sasa.Tuwaze mara mbili mbili kabla ya kutenda.Watu wengi hudhani ukiua mtu umemkomoa hapana kwa sababu mtu akishakufa hana cha kujutia lakini ukimwacha na wewe ukapiga hatua atajilaumu kwa maamuzi yake.
 
Niliwahi kusikia kuwa mwanamke fanya makosa yote lakini siyo kumnyima mwanaume cha asubuhi, akili zikimruka anafanya chochote
Nani kakuambia kila mwanaume lazima apige cha asubuh mkuu?
 
Acheni kugawa mbususu kama njugu mkuu. Jamaa huyo kilichomuuma inawzkana kagundua wanae wa karibu wote wameng'ata humo. Na madharau yanakuwa mengi lakin demu anazid kusambaza mapendo kwa wana
 
Kwa hiyo kumbe alikuwa anafight abadili umiliki wa mali ili aende kula maisha na Boda,daaaaah
Hii haiingii akilini, yaan mwanamke atake kubadili umiliki, nyumba iandikwe umilik wa "yeye na watoto" halaf jamaa achukue maamzi ya kumuua! HAPANA, hapa kuna namna nyingne, kuna kitu behind!

Sema dada wa kaz yeye kasema kile anachokijua, tena kasema kile alichosimuliwa na marehem, halaf ukwel katka ugomv wa ndoa mwanamke hasemag ukweli wa mambo, hupenda kutafta huruma kwa watu aonekane anaonewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…