Comments kutoka Mzalendo.net
Piga nikupige 16/12/2016 kwa 8:32 um · Log in to Reply
Wanapigwa na Mkangagani mwenzao anaitwa Rashidi Hadidi ni mkuu wa
wilaya wa DK. Shein, wa wilaya ya ya Wete. Huyu bwana ndio fitna mkubwa,
iko haja ya Wana Kangagani kumkabidhi Mwenyezi Mungu huyu Mshenzi.
salali 16/12/2016 kwa 11:32 um · Log in to Reply
Wasichanganye dini na siasa kama Maalim rais wetu hawataki ahutubiye hata
akialikwa mskitini iweje Shein atwaje mskitini kwani yeye nani hapo Zanzibar,
sisi wa Zanzibar tunamuona yeye ni haini tu, anaringiya vifaru,kachokonza
mzinga ngoja sasa tumuonyeshe makali ya nyuki.
mohamed 17/12/2016 kwa 12:25 mu · Log in to Reply
Watu wengine hasa mafala,kwani sheni kafa hata atajwe au kuombewa dua?
Bado hajafa mwache ajiombee mwenyewe dua na kama haitoshi ccm
wanamashekhe wengi tu,si wamtaje tu
Ghalib 17/12/2016 kwa 12:41 mu · Log in to Reply
Umesahau na ma padri, mashekh wetu wako rumande, ccm
hawana mashekh ispokuwa waganga njaa, kwa dhulma wanazo
fanya kama mtu shekh kweli lazima akae nao mbali
Ghalib 17/12/2016 kwa 12:42 mu · Log in to Reply
Poleni wananchi wa kangagani, kujiokowa muhimu, self defence.