Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,887
16,115
Bunduki iliyotaka kumuua Mpelelezi wa Tume ya Dunia John Murphy Ambilikile huko Mexico City, MP5, iliyomuua Kiongozi wa CS-Copenhagen Regner Steiner Valkendorff huko San Antonio, Murphy alipokamatwa na Kolonia Santita baada ya kuiba kitabu cha siri katika makao makuu ya Kolonia Santita ya San Ángel.

MP5 (‘Maschinenpistole 5’, au ‘Machine Pistol Model 5’) ni mojawapo ya bunduki hatari zilizotengenezwa na Kiwanda cha Silaha cha Heckler & Koch GmbH cha Ujerumani; zilizotumiwa na makomandoo wa Tume ya Dunia na magaidi wa Kolonia Santita dhidi ya Kolonia Santita na dhidi ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya kwa mpangilio huo. MP5 ina uwezo wa kubeba kwa wakati mmoja risasi 100 katika chemba yake ya ‘century’, kupiga risasi 900 kwa dakika (kwa kutumia mkanda wa risasi), na kufyatua risasi kwa kiasi cha kuleta maafa makubwa katika umbali wa meta 200 au futi 656.

Mnamo mwaka 1980 katika Operation Nimrod ya Jeshi la Uingereza, MP5 ilijipatia umaarufu mkubwa duniani katika Ubalozi wa Irani huko Kensington jijini London; ilipotumiwa kwa mafanikio makubwa na makomandoo wa SAS, kuokoa mateka 26 dhidi ya magaidi 6 wenye msimamo mkali wa Irani, katika tukio lililoonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni.
FB_IMG_1486968347261.jpg
 
Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
 
Rate of fire
800 rounds/min (MP5A series, MP5/10 and
MP5/40 )
700 rounds/min (MP5SD series )
900 rounds/min (MP5K series )

Source Heckler & Koch MP5 - Wikipedia

Wewe ulitumia ya kizamani
 
Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Mkuu National Service ulipigia Israel au wapi wanakotumia MP5?
 
Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
umeambiwa inatumiwa na makomando wa Dunia wewe utaipata wapi
 
Niliwahi kutumia/kupiga MP5 nikiwa National Service, risasi zinawekwa kwenye magazine sikuwahi kuona mkanda wa risasi unawekwa kwenye MP5 - sina uhakika kama sifa zinazo tolewa hapa zina ukweli wowote - nilipiga full burst lakini it didn't register to me kwamba ina uwezo wa kupiga risasi 15 per second!!

Unless kama kuna MP5 series nyingine hapo sawa, lakini ungesema labda bunduki aina ya UZZI ndiyo yenye uwezo kama huo hapo ninge kubaliana nawe.
Uzi au Ingram zina uwezo huo pia.
 
National service ya nchi gani inayotumia hiyo? mimi nadhani ulitumia AK 47.
 
kwa hiyo ukiwa na shabaha nzuri ndani ya dakika unaua watu 900....duh wazee wakisikia mtaani kwenu kuna mtu ana mtutu kama huo hawatimbi kijinga jinga
 
Back
Top Bottom