Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Wanazozifanya ziwe ngumu ni mabeberu yenye maslahi na rasilimali za afrika.Kwamfano Mwenyekiti wa AU ni Kagame, halafu ndie anayesemekana kutumiwa na mabeberu ya U.S..hapa ni wazi atakuwa anatumika kukamilisha maslahi ya U.S..kituambacho kinanifanya nichekezaidi. .ni namna France na Belgium wanavyochezeshwa kidalipo hahahaha
Siasa za Africa ngumu Sana maana si za kujenga nchi ila mara nyingi kubomoa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha. Hapa kuna vitu vya kuangalia ,hebu tujaribu kuvitazama kwa uchache tu wadau

1..Maamuzi ya AU ni kusitishwa utangazaji maana ake JKK ataendelea

2..Kesi iliyo mahakamani inayendelea mpk sasa hv uko Kinshasa ni kupinga matokeo

3..Lakini pia kuna HOJA kuwa uchaguzi huu kuna baadhi ya majimbo hayakufanya uchaguzi

Sasa basi kwa mambo hayo kuna haya yanaweza kutokea

1..Kuzuia utangazwaji wa matokeo ya uchaguzi, maana ake rais aliyepo aendelee ili CENI waandae uchaguzi mwingine

2..Mahakama kusema kuwa CENI ilimnyima Kura /ushindi bwana Fayulu

3..Mahakama kutoa muda kwa CENI kuandaa uchaguzi mwingine ( miaka mingine hii JKK atakua madarakani )

Hivyo basi kwa vyovyote vile kuna vitu tuvitegemee

1..Matokeo kusitishwa

2..Uchaguzi upangwe upya kwa hoja kuwa kn baadhi ya majimbo hayakupiga kura CENI ijipange vzr

3..Serikali ya mpito /mseto kwa miaka miwili mbele ,umoja wa kitaifa

NB..Mpk Jana usiku Majaji walikua bado wako ndani wamejifungia kutoa maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Very good analysis mkuu,kudos.

Ninachokiona mimi hapo ni JK kuendelea kua rais wa Congo wkt hizi figisu zao zinaendelea.

Afu siasa za kiafrica zinafurahisha sana eti leo PK na ujumbe wake wanaenda Kinshasa kama wasuluhishi wkt interest zake Congo zinajulikana,hahah.
 
Wanazozifanya ziwe ngumu ni mabeberu yenye maslahi na rasilimali za afrika.Kwamfano Mwenyekiti wa AU ni Kagame, halafu ndie anayesemekana kutumiwa na mabeberu ya U.S..hapa ni wazi atakuwa anatumika kukamilisha maslahi ya U.S..kituambacho kinanifanya nichekezaidi. .ni namna France na Belgium wanavyochezeshwa kidalipo hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah Naunga mkono hoja.
 
hili la Burundi kuungana na DR Congo na kuichokoa Rwanda nilitabiri iko siku tu manake hawa watu jamii ya pua kubwa ni watu hatari ambao ni lazima kulipiza kisasi, vifo vya wahutu Marais Ntaryamira na Habyarimana haviwezi kuachwa bure naona hadi leo toka 1994 bado kidole kimeelekezwa kwa watuhumiwa Rwanda na rafiki yake Uganda! vita iko karibu!
Burundi+Congo ni failed states zitapigana na nani sasa.?,hahah.
 
Kagame ni Karagosi LA Us.

Bro tz tumewashinda Us Angola Unita tukasapo Mpla.
Tumewashinda Us Mozambique walisapot Renamo tukaunda Frelimo,

tumewashinda Syshelis CIA walipoitumia Kenya kufanya mapinduzi Jwt ikatuma kikosi kazi chini brigedia Hashim Mbita. CIA, Kenya naSA ya kikaburu wakwa wachumba..

Tumewashinda Zimbabwe. CIA wakimsapot Ian Smith sie na Mgabe na ZANU tukaunganisha ZANU na PF kibabe ndo ikapatikana ZANU PF.

Tumeunda Umukonto Weswizwe SA ikawa haikaliki unajua Zuma Kaishi Dakawa Moro mika 7.

Tumeitikisa Nigeria na Biafra war.

Tumewapiga Libya pale Uganda. Tukawateka walibya walikaa Dar miezi Mitatu

Tumewatrain PlO.

Tumemuondoa Buyoya Burundi Kagame akimsapoti.

Tumempiga Idi Amin.
Tumeseblize Liberia.
Tumewapiga RDF wakijiita M23.
Tumemtoa Mohammed Bakari Comoro.
Haha the Mighty JWT and Angola Army are true defenders of SubSahara Africa. RDF the Mercenary of US/UK.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imebaki tu kutuma kikosi kazi Washington ,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ,Felix kapewa nchi Rasmi na Mahakama ya Kikatiba mjini Kinshasa

Tutakuja kuona baadhi ya vitu,ili tujadili kdg kwa pamoja

J4 nadhani itakua ndio anaapishwa
Very good analysis mkuu,kudos.

Ninachokiona mimi hapo ni JK kuendelea kua rais wa Congo wkt hizi figisu zao zinaendelea.

Afu siasa za kiafrica zinafurahisha sana eti leo PK na ujumbe wake wanaenda Kinshasa kama wasuluhishi wkt interest zake Congo zinajulikana,hahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ,Felix kapewa nchi Rasmi na Mahakama ya Kikatiba mjini Kinshasa

Tutakuja kuona baadhi ya vitu,ili tujadili kdg kwa pamoja

J4 nadhani itakua ndio anaapishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mahakama ya kikatiba imeshafanya yake aisee,Sasa huo ujumbe wa AU kinshasa utakuja kufanya nini mkuu wkt mzee baba anaapishwa kama kawa.

Na vipi kuhusu chama cha Kabila kua na majority kwny bunge?
 
Hahahaha, huo ujumbe wa AU walishakataliwa toka Jana ,wao km kuja waje ktk sherehe za kuapishwa rais mteule

Kuhusu chama cha Kabila ,awe wanatarajia kutoa Waziri Mkuu ,sasa itabidi wakae wamchague ni nani

Na JKK mwenyewe atakua rais wa Baraza la seneti

Tatizo nalo liona ni watu kutoka Katanga /waswahili [ wa luba ] kama watatoa ushirikiano zaidi kwa rais Felix [ mkasai]

Kwann

1..Wakatanga hawaamini wakasai

2..wakatanga wengi ni waswahili na watu wa kujivuna

3..wakatanga wengi walimpigia kula Fayulu ,na wapo waliomsapoti Shadary

4..wakatanga wengi wanamuamini Katumbi ,swahiba wa Fayulu

5..kubwa zaidi wakatanga na wakasai hawaelewani

Yote tisa ngoja tuone ,rais Felix atakuja na Sera gani
Hahah mahakama ya kikatiba imeshafanya yake aisee,Sasa huo ujumbe wa AU kinshasa utakuja kufanya nini mkuu wkt mzee baba anaapishwa kama kawa.

Na vipi kuhusu chama cha Kabila kua na majority kwny bunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili la Burundi kuungana na DR Congo na kuichokoa Rwanda nilitabiri iko siku tu manake hawa watu jamii ya pua kubwa ni watu hatari ambao ni lazima kulipiza kisasi, vifo vya wahutu Marais Ntaryamira na Habyarimana haviwezi kuachwa bure naona hadi leo toka 1994 bado kidole kimeelekezwa kwa watuhumiwa Rwanda na rafiki yake Uganda! vita iko karibu!
Mkuu hivi Rwanda na Uganda hawana maelewano sikuiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, huo ujumbe wa AU walishakataliwa toka Jana ,wao km kuja waje ktk sherehe za kuapishwa rais mteule

Kuhusu chama cha Kabila ,awe wanatarajia kutoa Waziri Mkuu ,sasa itabidi wakae wamchague ni nani

Na JKK mwenyewe atakua rais wa Baraza la seneti

Tatizo nalo liona ni watu kutoka Katanga /waswahili [ wa luba ] kama watatoa ushirikiano zaidi kwa rais Felix [ mkasai]

Kwann

1..Wakatanga hawaamini wakasai

2..wakatanga wengi ni waswahili na watu wa kujivuna

3..wakatanga wengi walimpigia kula Fayulu ,na wapo waliomsapoti Shadary

4..wakatanga wengi wanamuamini Katumbi ,swahiba wa Fayulu

5..kubwa zaidi wakatanga na wakasai hawaelewani

Yote tisa ngoja tuone ,rais Felix atakuja na Sera gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu raisi kabila alikua Mruba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utaongea ila kagame naona kashaona maji ni mengi kuzidi unga alionao..Mr slim baada ya kujaza silaha na kuzifanyia upelelezi vya kutosha Tanzania,Uganda,DRC,Burundi akajiamini sana kiasi cha kuitukana Tanzania akiamini kuna mstari haitavuka kule drc,ila majibu aliopata ni tofauti kabisa na uhalisia vita ile ilipiganwa na JWTZ vs RDF wakiwa na sare halisi za rwanda.Kikwete alitaka kumuonesha uhalisia japo iliwekwa siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa now mzee wa chato si ndo msela wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba ake ni mluba Mzee Kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh. Ila nahisi Tchisekedi atakuwa Rais Poa kwa vile hana compromise nyingi na ma power mongers.

Naitakia Kongo amani ikuze uchumi ijenge vyombo bora vya usalama.
Imalize rebel Kivu. Naamini Kongo ikitulia na Kuwa na Nguvu.

Ukanda wote utatulia. Tchsekedi afanye kazi na Kabila. Urais ni taasisi asiufanye personal ila yeye ndo awe mwamuzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, huo ujumbe wa AU walishakataliwa toka Jana ,wao km kuja waje ktk sherehe za kuapishwa rais mteule

Kuhusu chama cha Kabila ,awe wanatarajia kutoa Waziri Mkuu ,sasa itabidi wakae wamchague ni nani

Na JKK mwenyewe atakua rais wa Baraza la seneti

Tatizo nalo liona ni watu kutoka Katanga /waswahili [ wa luba ] kama watatoa ushirikiano zaidi kwa rais Felix [ mkasai]

Kwann

1..Wakatanga hawaamini wakasai

2..wakatanga wengi ni waswahili na watu wa kujivuna

3..wakatanga wengi walimpigia kula Fayulu ,na wapo waliomsapoti Shadary

4..wakatanga wengi wanamuamini Katumbi ,swahiba wa Fayulu

5..kubwa zaidi wakatanga na wakasai hawaelewani

Yote tisa ngoja tuone ,rais Felix atakuja na Sera gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Though pia mkuu siamini amini hivi kama AU+SADC walikua wako real khs matokeo ya uchaguzi kusitishwa kutangazwa au ilikua ni janja ya kujisafisha mbele ya jumuiya za kimataifa.

Mimi naona stabilisation ya Congo ni mpk Mabeberu wakiona sasa inatosha.

Usishangae vikaanzishwa tenq vikundi vya waasi vya kijinga jinga kupingana na rais mpya ili mradi tu vurugu ziwepo though serikali ya mseto ingeweza kusaidia kiaina kwny situation hii.
 
Back
Top Bottom