Ripoti ya Uchunguzi vifo vya watoto Tabora

Mfumwa, how does that explain Rais wa nchi anayezungumza kuhusu Mwezi wa kumi kushindwa kukumbuka vifo vya watoto 19 vilivyotokea mwezi wa kumi?

Mwanakijiji ukishangaa hiyo what about this Quote

"Yapo malalamiko kwamba wale waliorudisha pia wanatakiwa kuwajibishwa. Lakini kwa kuwa serikali ilikuwa imeshawaahidi msamaha, itakuwa si sawa kuvunja ahadi yetu. Lakini tunaelewa pia kuwaachia huru itakuwa si haki. Kwa hiyo, naomba nichukue fursa hii kuomba watanzania watulazimishe kisheria kuwachukulia hatua, Kwa mfano, kutushitaki mahakamani na kuiomba mahakama itangaze kwamba msamaha wetu si halali ni jia mojawapo. Na hilo likitokea, sisi tutakuwa tayari kufuata amri ya mahakama na kuwafungulia hawa mashitaka. Hii ndio itakuwa njia rahisi kwa kila mmoja wetu" Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Hutuba ya Mwezi wa Oktoba

Si alishaenda Tabora mwezi wa 10 na alishazungumzia hilo suala, ripoti imetoka and that it.
 
Mfumwa, how does that explain Rais wa nchi anayezungumza kuhusu Mwezi wa kumi kushindwa kukumbuka vifo vya watoto 19 vilivyotokea mwezi wa kumi?

Mkuu Mwanakijiji
Usishangae, inawezekana ilisahaulika katika hotuba ya JK kwa sababu ya 'cut and paste' ya hotuba zilizopita na hii issue ya maafa haikuwepo mmmmmmmmmh
 
Mkuu Mwanakijiji
Usishangae, inawezekana ilisahaulika katika hotuba ya JK kwa sababu ya 'cut and paste' ya hotuba zilizopita na hii issue ya maafa haikuwepo mmmmmmmmmh

Hilo linaelezea kukosekana mjadala wa suala hili Bungeni?
 
Katika hotuba yake ya kufunga mwezi wa kumi Rais Kikwete hakuzungumzia vifo vya watoto 19 Tabora... Nimedokewa kuwa alisahau!

Wakati wa hotuba yake ya kuliahirisha Bunge Waziri Mkuu Pinda naye alizungumza kwa kirefu lakini kama wenzake na yeye hakugusia kabisa vifo vya watoto wale 19 ...Naambiwa na yeye alipitiwa.

Rais anaandikiwa hotuba. Waziri Mkuu bungeni anataarishiwa hotuba. Wewe nani amekudokezea kwamba walisahau?

What do you mean amesahau, ameruka kusoma paragraph ya vifo au walisahau kuzijumuisha ?

Kama ilisahauliwa kuwekwa ni nani Ikulu au Ofisi ya Waziri Mkuu aliye admit kwako wewe kwamba wakati wanaandaa hotuba ya Rais na Waziri Mkuu walisahau kujumuisha paragraphs za mauaji ya Tabora ?

Isije ikawa aliyekuambia ni mdaku. Na wewe ukatubebea udaku. Ukageuka mdaku.
 
...kuna mtu alinambia siku moja, "hakuna slow news day ktk JF, kama hakuna story, basi zita/ita tengenezwa."

...hii kesi ipo kortini, mmiliki wa kilabu na "vifua vinene" wake watajibu mashtaka kwa pilato, sasa wewe MKJJ shida yako nini?? unataka sifa? au ndio unataka kutumia vifo vya watoto "kuuza" Cheche na kutangaza website yako? ebu waache watoto wa watu wapunzike kwa amani na sheria ichukue mkondo wake bila bughudha!! katabia kako kanakera....hooooovyo.

so you picked the blue pill! Understood.
 
Hii kitu imeishia wapi? kuna mtu amewajibishwa? maana nimeikumbuka baada ya kusikia kuna wengine wanataka kupitisha mabomu!? maana visije vikatokea vifo vingine na kila siku tutakuwa tukipiga kelele na hakuna anayewajibishwa.
 
Hii kitu imeishia wapi? kuna mtu amewajibishwa? maana nimeikumbuka baada ya kusikia kuna wengine wanataka kupitisha mabomu!? maana visije vikatokea vifo vingine na kila siku tutakuwa tukipiga kelele na hakuna anayewajibishwa.

Ahh Mkuu hii ngoma ndio tusahau tena na hivi Taifastars wametutoa kimaso maso huko sudani ambapo Dr Dau alikuwa kwenye msafara mh nahisi machungu yote yameshafukiwa
 
Back
Top Bottom