Yuko nyumbani kwake akiangalia wenzake akina Makamba "wanavyojua kuendesha nchi"Alikuwapo Philipo Mangula katika siasa ya Tanzania Chama cha Mapinduzi
Mtu huyu yuko wapi na anafanya nini sasa Kutoka Ukatibu Mkuu wa CCM mpaka jina kufifia namna hii
Alikuwapo Philipo Mangula katika siasa ya Tanzania Chama cha Mapinduzi
Mtu huyu yuko wapi na anafanya nini sasa Kutoka Ukatibu Mkuu wa CCM mpaka jina kufifia namna hii
Mara ya mwisho nilimsikia alipochakachuliwa katika kura za kugombea uenyekiti wa Mkoa wa Iringa ambapo ilisemekana walimpa alama za kutofaa hata kuongoza Kata! Hiyo ndiyo CCM; chama kilichopoteza kabisa uelekeo na kukumbatia mabaya yote Mwasisi wao Mwl. Nyerere aliyowaasa kuyaacha. Sasa CCM wanajitanabahisha na Ukabila (Unakumbuka yaliyompata Dr. Salim?), Udini, na ubaguzi wa kipato kwani kwa CCM ya leo kila nafasi ya uongozi ina bei yake na kamwe usitazamie kupata nafasi ya kugombea hata udiwani wa kata kama huna fedha. Tatizo la baadhi ya wana CCM ni uoga wa kujiunga na wanaharakati wa upinzani kwa hofu ya kuitwa wasaliti. Mimi naamini Mzee huyu bado ana nguvu za kutosha na mchango wake unahitajika sana katika Tanzania hii iliyokwenda arijojo. Namshauri ajiunge na Upinzani kuharakisha mabadiliko yatayolinusuru taifa letu na kuangamizwa na 'vibakauchumi' waliosheheni CCM na ambao wanalikana jina wanalostahili la mafisadi.Alikuwapo Philipo Mangula katika siasa ya Tanzania Chama cha Mapinduzi
Mtu huyu yuko wapi na anafanya nini sasa Kutoka Ukatibu Mkuu wa CCM mpaka jina kufifia namna hii
Kwenye hili mzee wa watu alikuwa very objective kiukweli wala haikuwa personal kihivyo. I have come to learn kwamba huyu mzee anamjua huyo mnayemwita muungwana (kwangu mimi c muungwana otherwise asingpiga risasi na kuua wapiga kura wake juzi arusha) kuliko wengi wetu. Watanzania wengi ni mashahidi namna kazi inavyomlemea mkwere, yaani ni kama vile kibajaji kukibebesha mzigo wa tani 30. Kibaya kuliko vyote ni kwamba by then Mzee MAngula hakueleweka na wengi, tulimwona mtu mbaya anayetaka kutupotezea handsome boy wetu, mtu wa watu kipenzi cha watu, you name it. Anyway ndio hivyo tena imekula kwetu hiyo.
labda mzee alijua mapema hasara ya kumweka huhu nanga tuliyenaye sasa! Si alisema mkwere akishinda ataenda kulima...hahaha
Nashangaa alishindwa kum-kolimba mkwere! angetu-save sana!
Ni kweli kwamba kuna sheria za utoaji wa form lakini kama chama wanayo nafasi ya kusema huyu no or yes. Kwa hiyo Mangula katika nafasi yake alikuwa na nafasi ya kusema wewe no. Ni kama ambavyo Msekwa alimuita Lowassa na kumwambia achana na mbio za urais, ndivyo ambavyo Mangula alitumia lungu la nafasi yake kumuzuia Kikwete asichukue form ya kugombea urais. Kama huamini, basi tafuta source nyingine ndani ya CCM utapata ukweli wa hili.Haya yatakuwa ni maneno ya mtaani,kwani mangula halikuwa hana ubavu wa kumnyima fomu mgombea yoyote wa CCM kwa kuwa sheria na taratibu za uchaguzi ndani ya CCM haikumpa uwezo huo!ingawa nakubaliana na wewe kuwa JK anauwezo mdogo wa kuongoza nchi hii!!
Ni kweli kwamba kuna sheria za utoaji wa form lakini kama chama wanayo nafasi ya kusema huyu no or yes. Kwa hiyo Mangula katika nafasi yake alikuwa na nafasi ya kusema wewe no. Ni kama ambavyo Msekwa alimuita Lowassa na kumwambia achana na mbio za urais, ndivyo ambavyo Mangula alitumia lungu la nafasi yake kumuzuia Kikwete asichukue form ya kugombea urais. Kama huamini, basi tafuta source nyingine ndani ya CCM utapata ukweli wa hili.
Yaani hapo ndipo ninapochoka na hizi siasa za bongo (gutter politics). Unaamua kumtosa mtu kwa sababu tu ya bifu zenu unaacha kuangalia uwezo wake katika utendaji. Sasa Mangula anayemshauri Jacob Zuma si angefaa sana kumshauri Kikwete akiwa kama katibu mkuu wa chama? Although ninaamini kabisa kwamba Mangula angeendelea kuwa katibu mkuu wa CCM, Kikwete angeendesha nchi kwa shida sana. maana jamaa alikuwa very serious katika mambo yake.Mkuu, lisemwalo lipo yasemekana alimwambia no way!!! ndo maana nguvu kubwa ya mtandao ilitumika kumwangusha ktk kinyang"anyiro kule iringa. Lkn je wajua sasa yuwapi??? nyungo za intelijensia zimenasa kwamba yupo kwa Madiba akiwa na cheo cha Mshauri wa Mambo ya Siasa kwa Mzee XUMA from the North!!!!
TAKE NOTE!!!!!!!