bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 496
6.0. KILICHOBAINIKA:
[*=center]
6.1. Uchambuzi uliofanywa ni timu hii umebaini kuwa hoja nne zinazungumzwa kuhusiana na kutekwa na kuumizwa kwa Kibanda. Hoja hizi ni:-(i) Kazi yake ya uandishi wa habari(ii) Uhusiano wa kisiasa na vyama au wanasiasa mbalimbali(iii)Uhusiano wa kijamii ikiwamo mapenzi(iv) Vitendo vya rushwa.
6.2. Timu imejiridhisha kutokana na majibu ya wengi kuwa dhana ya mapenzi na rushwa, havina nafasi yoyote katika tukio hili. Wote waliohojiwa walieleza pasi na shaka kwamba suala hili la kushambuliwa na kuumizwa kwa kiwango kikubwa kwa Kibanda, halina uhusiano wowote na rushwa au mapenzi.
Mwisho.....
Binafsi eneo hili kwangu linahitaji ufafanuzi wa kina kujua timu imefikiaje conclusion hiyo wakati hakuna maelezo yoyote ya hisia za mapenzi na na rushwa na namna uchunguzi kuhusu hisia hizo uliofanyika na kutoa cnclusion hiyo kama ilivyofanyika kwa hisia za siasa na kazi zake New Habari na Free Media. Nahisi kuna kitu kimefichwa hapa Purposely.