Kwa Kawaida Research yeyote ni lazima ianzie kwenye Literature Review, From some materials ambazo zilizndika habari za Kifo cha Mwangosi na hata Videos na picha pia zinaweza kukupa Hypothesis ya Tukio zima Kabla ya kuenda Field...
Hao Waheshimiwa Hawajaonesha kuwa walipitia Literature gani so Ipo Batili na Majibu ya Report hiyo ni Aibu kubwa kwa Taifa tena haikupaswa kuwekwa hadharani kama hivi.
Pili inatakiwa kujua wapo waliwahoji wakinanani (kwenye kuchagua Population ni lazima kuchagua Wale wenye Taarifa za kutosha juu ya Tukio,) Lakini hao wajamaa hawakuwahoji wahusika wakuu akiwemo yule Muandishi aliye chukua Picha Live.. Pia waliwahoji wananchi ambao wao walisimuliwa na sikuona (au inawezekana hawakuhoji mtu yeyote.
Sidhani kama na huyo anaye itwa Profesor anauthibitisha uprofesa wake hapa kwa kutumia Report hiyo...
Nchimbi anatakiwa ajipange kwa kuudanganya uma.