Ripoti ya Freedom House: Kenya yapanda juu ya Tanzania kwa 'uhuru wa kidemokrasia'. Tanzania yashuka Mara 7 ndani ya mwaka mmoja

Hata hicho kidogo kilichobaki nashauri kiondolewe,wapinzani yafaa watawaliwe kwa mijeledi.
 
Sio Bundi siasa za Kenya huwa hazitabiriki sasa hivi kuna mpasuko mkubwa chama cha Jubilee na hiyo itapelekea Ruto vs Kenyatta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpasuko wa kiitikadi/kisiasa ni moja ya hatua za kidemokrasia!what matter ni jinsi unavyo deal na huo mpasuko! Tanzania hakuna mpasuko,kuna ukandamizaji!! Grasp that!
 
Back
Top Bottom