Sasa itakuwaje?. Tunasubir isomwe wazi Ili tuelekee kwenye mchakato wa kitabu cha kutuongoza kama nchi. Bila kusomwa tunatokaje tulipo? Wasione aibu ukitaka kupata mtoto lazima mvuliane nguo bana.
Jizi na liuaji likijichunguza lenyewe unategemea. nini? Pamoja na kuwa tume ya mchongo lakini "cosmetics" zote zilizolazimishwa na Bi. Kigagula katika ripoti zimedoda.
Tundu Lissu na CHADEMA watakosekana kwenye ripoti kama hiyo?
Lakini ukweli ni kwamba, hata kama ripoti ingetamka wazi kuhusu kilichochochea hayo ya Oktoba, na akatajwa Samia kwa ukaidi wake na uchu wa madaraka; hilo lisingebadili chochote wakati huu.
Samia na Genge lake wataendelea kama hakuna kilichotokea, na kuhimiza maridhiano wanayoyataka wao na siyo wanayoyataka waTanzania.
Hiyo ripoti haina faida yoyote kwa waTanzania, sanasana itakuwa ya manufaa kwa walioiunda tume ili iwasafishe.
Ilikuwa ikabidhiwe, Ijumaa Kuu, andiko la manyerere Jacton likatibua mambo, hivyo waka pose!, leo itatolewa taarifa, ripoti itasomwa Jumatano tarehe 8 April, 2026, endelea kusubiria!.
P
Wanataka isubiriwe na kuongelewa ili kuipa uhalali.
Kuna watu wamefikia hatua ya kusema eti ripoti inatupia mzigo wa mauaji kwa serikali na Samia anagoma kuitoa mpaka ihaririwe kwanza.
Ni jambo la kushangaza sana watanzania wanaweza kuchezewa akili namna hii. Hivi kweli kweli kwa kuangalia wajumbe wa tume na walivypatikana watu wanategemea tume ya mchongo iseme kweli?
Subirini wengi wataanza kuweweseka tena jinsi ripoti ikavyokuwa na uongo wa mchana kweupe na kutoa mapendekezo ya kijinga.