Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hii ripoti ninahisi itakuwa ndiyo iliyompeleka Rais wetu mapumziko huko kwao Chato kwani nina uhakika yaliyomo humo ni balaa, na hivyo Rais ameamua kwenda likizo, kupumzisha akili na kujaza nguvu huku akiomba Mungu amuongoze kwani ni lazima afanyie kazi yaliyomo kwenye ripoti hiyo vinginevyo Ofisi ya CAG itakuwa haina maana yoyote ile kuwepo kama wanayoyaibua hayafanyiwi kazi!
Rais Magufuli seeking divine intervention!