Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Huu ni mtazamo wangu kutokana na hali ninayoiona ila tusubiri wakati ufike.
Utaratibu wa ripoti ya CAG kuwasilishwa na kujadiliwa Bungeni naungalia kwa jicho la Bunge live.
Mkuu, wacha tusubiri muda ufike tutasikia mengi.Tukiongea sana kwa sasa tunaweza kuitwa wazushi na wachochezi ila muda ndio kiboko yao.Ile aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadili wala bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.
Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizitumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.
Ndugu yangu sina milioni 7 tusubiri tu wenye dhamana waje wafunguke muda ukifika.Unataka kusema nini mkuu Salary Slip
Hayo hutoyasikia kwenye report itakayokabidhiwa March 30,inakabidhiwa ni hesabu na matukio yanayoishia June 2016,ndege nk ni mambo yaliyojiri kuanzia July 1Mimi Ni nasubiri kuona bajeti ya trillion 22 ambayo haikuridhiwa na bunge kama imetekelezeka maana mwaka wa bajeti unakaribia kuisha.
Duu mkuu umekuwa muoga namna hii,kuna namna nyingi za kufikisha ujumbeNdugu yangu sina milioni 7 tusubiri tu wenye dhamana waje wafunguke muda ukifika.
Hahahaaaaaa ngoja niufyateHuu ni mtazamo wangu kutokana na hali ninayoiona ila tusubiri wakati ufike.
Utaratibu wa ripoti ya CAG kuwasilishwa na kujadiliwa Bungeni naungalia kwa jicho la Bunge live.
Ni kweli zipo namna nyingi na mojawapo ni hii style niliyotumia kuleta hii mada.Duu mkuu umekuwa muoga namna hii,kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe
huko bungalow c ndo kwao na mafisadiIle aliyokabidhiwa Magufuli mwaka jana mpaka hii leo inapigwa vumbi ofisini kwake na haijawahi kujadili wala bungeni kisa ina ufisadi uliofanywa na Magufuli kabla ya kuingia Ikulu.
Kuna kila sababu CAG akague kuhusu ununuzi wa ndege ambao umekiuka taratibu za Serikali za manunuzi na pesa zilizitumika 1 trilioni hazikuidhinishwa na Bunge.
Yameanza kutimia.Soma bandiko la Pasco na gazeti la leo la Nipashe.Tuvute subira, mwaka huu waitaweka wazi kabisa. Mmmmh labda