Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

Mtetezi wa WANYONGE na MASIKINI alikuwa mwizi?
Siamini!!!
 
Mzalendo wa kweli etwege njoo huku mkuu!
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Usimwagie maji moto unaowaka.
Hii si sawa na mitihani,
HATI CHAFU ni kuonyesha WIZI ulipo.
Na kama WIZI umefumbiwa macho chini ya JPM, tuna haki ya kumtilia mashaka.
 
Ripoti ya CAG ni sawa na repoti ya matokeo ya final exams
Sio wote wanapata A, B, C wapo pia wa D, E....... na yote hayo ni matokeo

Tusubiri hati safi na chafu tujue wale walioPass na walioDisco
Hivi dada hii Ripoti inahusu Serikali yaMzalendo nNo Moja ,Shujaa was Afrika ,Kipenzi Cha Wanyonge kweeli??
Au ni vibaraka wa Mabeberu wanaona wivu
 
Mkuu tulionya lakini saiti yetu ilizimwa!!

Huwezi mtu kupenda giza ukawa msafi si rahisi
 
Mama akiona huruma na majizi anapoteza muelekeo,kama alivyosema wasioneane aibu nchi ilipofika nichafu sana nilazima waliotenda wawajibishwe nawafilisiwe pesa zetu zirudi
 
Wengi wanaopiga debe kudai "madudu" yamefichuliwa hawajawahi kusoma ripoti za CAG, wanadakia ya kusikia tu. Kopi za hii ripoti ya mwaka huu mimi sijaiona, lakini nilishasoma za kila mwaka kwa miaka 11 iliyopita tangu waanze kuziweka mtandani. Utashangaa ukija kusoma hii ukakuta ni sawa kabisa na zile za zamani. Hati chafu ni kama 5% au chini ya hapo kwa nchi nzima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…