Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

Hii ni aibu, nlizani jamaa atabanwa kwa hoja hii kumbe daaa ana fact kwa kiasi hiki!!!!
Kumbe hoja ya majaji wa voda fasta ni kweli........ ila hawa tuwabane mapema mana wanatumika kwenye sehemu nyingi kuua movement za wadai haki.
 
quote_icon.png
By only83
Hoja iko kisomi, well organized...viva kamanda Lissu.

Hizi tuhuma ni nzito hazikwepeki,tena wala hawatakiwi kumjibu Tundu lolote,wakae tu kimya hii ni aibu kwa mamlaka teuzi na sekta ya mahakama kwa ujumla.

Tunashukuru sana Tundu kwa kuokoa wengi wanaohukumiwa na majaji ambao hawana hata LLB.

Hapa ni dhahiri Kikwete ana uamuzi mmoja tu,kufanya kama Kenya.

kuwaalika majaji wa mahakama za rufaa waje wafanye usaili upya wa majaji na majaji wote wanaotiliwa shaka wawekwe kando.

Thubutu yake. Hataweza kufanya hivyo. Nadhani anafahamu alichokifanya na kwa sababu gani. Ila aliangalia madaraka ya Rais tu bila kujua kuwa anavunja katiba na madhara yake ni nini. But ignorance to the law is no difence
 
Mmmh kweli Mnyika hakukosea kusema JK ni dhaifu. Yaani ina maana yeye chochote anachowekewa mbele ya meza yake yeye anaanguka tu mkono. siku moja atakuja kusaini dokumenti inayomuondoa madarakani kabla ya muda wake kwa sababu ya udhaifu wa kushindwa kuchukuwa muda na kuuliza maswali ya msingi.

Kweli Lissu aliwalengesha sana wabunge wa SISIEMU na kutoa mapovu, sasa tusubiri mwenye kichwa cha kufikiria (WEREMA) anasemaje kuhusu huu utetezi.
 
If what Tindu Lisu is saying here is even 50% correct the the JUDICIARY in TZ is ROTTEN. It should be dissolved and new Judges - preferably from outside should be appointed to clean this ROT.

Kudi Shauri.

The "If" thing is not up for discussion. This is a proven fact. If you can't read then look at the picture to get the facts into your head.
 
Sasa nimepata jibu ni kwanini serikali hupenda kukimbilia mahakamani.Ni dhahiri majaji hao wanaobebwa watafanya kazi ya kulipa fadhila za aliewateua.

Kama raisi yuko makini kwa kuanza anatakiwa hata kujikosha kwa kuwapiga chini washauri wake wote wanaohusika na uteuzi huu wa majaji ingawa siamini kama nae alikuwa hajui nini kinachoendelea.Ndio maana nimesema afanye hivyo kwa kujikosha tu kama mamlaka ya uteuzi inayopaswa kuchukua hatua.
 
Hizi tuhuma ni nzito hazikwepeki,tena wala hawatakiwi kumjibu Tundu lolote,wakae tu kimya hii ni aibu kwa mamlaka teuzi na sekta ya mahakama kwa ujumla.

Tunashukuru sana Tundu kwa kuokoa wengi wanaohukumiwa na majaji ambao hawana hata LLB.

Hapa ni dhahiri Kikwete ana uamuzi mmoja tu,kufanya kama Kenya.

kuwaalika majaji wa mahakama za rufaa waje wafanye usaili upya wa majaji na majaji wote wanaotiliwa shaka wawekwe kando.

Hawa walishatugeuka taaluma yao wanitumia kukandamiza haki za wanyonge.na sababu kubwa nafasi za juu wamekabidhiwa vichaa.Kwa harakaharaka nijifunza kitu kwa tundu lissu kuwa udhaifu huu haijaanza kipindi cha JK bali tangu siku nyingi.Madhara yake ndiyo tunaanza kuyaona leo kesi za ajabu zinafunguliwa na huku serikali ikiendelea kutumia mahakama kama kichaka,kumbe mpango wa kuandaa play makers ulianza siku nyingi.Na sasa kuwaondoa wale itatuchukua muda kwa maana nyingine haki za kimahakama hazipo tena.Kilichobaki ni kuiondoa ccm madarakani ili kuweza kufumua mtandao wa vihiyo wa sheria

Na kwa kuongezea vihio wako katika kila sekta ndugu. Sijui Tanzania itaanzia wapi kurekebisha hali hii. Wengi tumebaki midomo wazi. Mungu atuhurumie kwa kuendelea kutupa watu makini kama Lisu
 
Huyu Jaji Aloysius Mujulizi alikuwa wakili wa IMMMA ni jamaa yake na Marsha toka wapo Mwanza mpaka wameamia Dar es Salaam na ndio walikuwa mawakili wa makumpuni ya madini kule Geita, kwa kweli hana uwezo wa kuwa Jaji naungana na Tundu Lissu kwenye hili.
 
Hizi tuhuma ni nzito hazikwepeki,tena wala hawatakiwi kumjibu Tundu lolote,wakae tu kimya hii ni aibu kwa mamlaka teuzi na sekta ya mahakama kwa ujumla.

Tunashukuru sana Tundu kwa kuokoa wengi wanaohukumiwa na majaji ambao hawana hata LLB.

Hapa ni dhahiri Kikwete ana uamuzi mmoja tu,kufanya kama Kenya.

kuwaalika majaji wa mahakama za rufaa waje wafanye usaili upya wa majaji na majaji wote wanaotiliwa shaka wawekwe kando.

Tena waanze na Werema! mwanasheria kopo kuliko makopo yote! AG ambaye hata mtihani wa uwakili ulimshinda, sijuwi walimpaje yule jamaa hata haieleweki! ushikajiushikajituuuuu.....!
 
hivi kama ukishitakiwa unaweza ukakata rufaa uhukumiwe nje ya nchi?maana kwa mwenendo huu sina imani na hakimu au jaji wa mahakama yeyote tanzania
 
Huyu Jaji Aloysius Mujulizi alikuwa wakili wa IMMMA ni jamaa yake na Marsha toka wapo Mwanza mpaka wameamia Dar es Salaam na ndio walikuwa mawakili wa makumpuni ya madini kule Geita, kwa kweli hana uwezo wa kuwa Jaji naungana na Tundu Lissu kwenye hili.

Hahahahahaha1 naona leo hujawa mean Mkuu!

Hamia Airtel lol..
 
Huyu Jaji Aloysius Mujulizi alikuwa wakili wa IMMMA ni jamaa yake na Marsha toka wapo Mwanza mpaka wameamia Dar es Salaam na ndio walikuwa mawakili wa makumpuni ya madini kule Geita, kwa kweli hana uwezo wa kuwa Jaji naungana na Tundu Lissu kwenye hili.
Shekhe ni wewe? Asalaam Aleykum!
 
Asante Lissu kwa kuanika ukweli wote. kwa utendaji wa bunge hili, watajitahidi sana kuipotezea hii ripoti, na huenda isizungumzwe kabisa.

Lakini naomba wasikuingize kwenye huo mtego wao, piga kelele brother mpaka kieleweke.

Nadhani baadhi ya hawa majaji tayari wanafikiria namna ya kujiuzulu. tuhuma dhidi yao ni kubwa na kwa mtu anayestahili kuwa jaji ataona ni bora ajiuzulu kuliko kuendelea kufanya kazi katika mazingira ambayo credibility na intergrity zake hazina mashiko.

Lakini kwa vile hawa hawastahili kuwa majaji, huenda hata hii thinking wasiwe nayo kwani si wastahili wa kazi waliyopewa.

Wajiuzulu??? huo ni msamiati mgeni katika nchi hii! sahau my brother!
 
Kati ya Mh.Tundu Antipas Mughwai Lissu(MB) na Ofisi ya Bunge,nani aliyevujisha ushahidi wa TL kudhihirisha kuwa kuna Majaji vihiyo? Manyerere Jackton wa Jamhuri ameipataje sasa? Kwanini ushahidi umevuja? Iendelee au isiendelee?
 
Kwani kuna tatizo? Majaji wanalipwa kodi zetu kama ni vihiyo kuna dhambi gani waajiri wao wakijua?
 
wewe umetumwa eee? pishilia mbali kabisaaaaaa!! Hata sisi wa pembezoni tumeipata hiyo na tutaitumia kuwakataa magamba wote iwe, udiwani, ubunge ama urais enough is enough magamba to lead us!! Liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom