Ripoti Maalum: Muhimbili hali mbaya


Naona tatizo lako kubwa ni elimu, swali hilo hilo nakuuliza wewe, Nyerere alikuwa iziraili mtoa roho za watu mpaka atupunguzie umri wa kuishi?
 




Tumvumilie tu, mzee mzima amezidiwa; TANZANIA NI FAMILIYA KUBWA WAJAMENI!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ha! ha! Chagua CCM tena 2015

Jana iliwekwa number ya professor president jk ya huko marekani kwenye hoteli maalumu anakougulia. Kama kuna mwenye cimu nzuri ya kuweza kucopy na kupaste amtumie prof hii link
 
Hili taifa la Tanzania linaongozwa na ujinga wa wananchi then unafuata ujinga wa viongozi. Wakati ripoti ya Twaweza ilijadiliwa kwa zaidi ya page 20 jana, hii ripoti muhimu inayohusu maisha ya watanzania ina page tano tu, na huku ndio kuna cream ya wasomi wa nchi na great thinkers wa nchi. Hii inatosha kabisa kueleza ni aina gani ya taifa na wananchi tulivyo. Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, maadam wanangu wamekula na wameenda shule na kurudi then kila mtu atajijali mwenyewe. Atakayekufa kwa kukosa tiba wakati sehemu kubwa ya kodi yake wamelipwa Simba Trust na afe tu, tumechoka.
 

tunaomba baba riz akimaliza tiba m'badala yake huko ''first class'' akirudi hom asisahau kuja hospitalini kwetu ''third class'' kutuangalia na atupe pole kama tulivompa sie kupitia sms. Maumivu yakizidi tunatoroka hospitalo
 
Naona tatizo lako kubwa ni elimu, swali hilo hilo nakuuliza wewe, Nyerere alikuwa iziraili mtoa roho za watu mpaka atupunguzie umri wa kuishi?

Elimu isiyo na tatizo sijuu uliposema katutoa kwenye 50 mpaka 62 nilijua uwezo huo ni wake, atupeleke mpaka 70 kabla ya 2015
 
Elimu isiyo na tatizo sijuu uliposema katutoa kwenye 50 mpaka 62 nilijua uwezo huo ni wake, atupeleke mpaka 70 kabla ya 2015

Maisha bora kwa kila Mtanzania ni dhahiri kwa hilo.
 
tatizo linanzia kwanza Muhimbili

wao kma hospital mbna hawesemi juhudi za awali walizochukua kukabiliana na tatizo

Kidole007 upo kama hujui kuwa MNH ni hospitali ya serikali na unadhani kuwa wanaoiendesha wana mfumo tofauti na ule uliopo Bandari, TANESCO, TFDA au TBS. Ungekuwa unafahamu kuwa hata pesa ya kuendesha ofisi inatakiwa itolewe na serikali na isipotolewa hata karatasi ya photocopy katika ofisi hizi itakosekana. Huwezi kutuaminisha kuwa uongozi wa MNH wanatakiwa wakakope kwenye Mabenki au nje ya nchi kutuonyesha kuwa wamechukua hatua. Ongea kama Mtanzania mwenye utashi na kinachoendelea.
 
kweli mkuu, unachosema nisawa kabisa, hali ni mbaya sana maana nilikuwepo, ukianzia getini,
ukakutana na walinzi, ni kufoka tu!
Manesi hivyo hivyo,
yaaahi ni balaa!
 
TWAWEZA wanakuja na data za kipuuzi eti PINDA alieshindwa kusimamia hata issue za madawa eti anakubalika kwa Watanzania... Ndani ya CCM Maisha bora ni ndoto ya mchana wa jua kali yenye njaa kali....
 
Mgomo Baridi Sekta ya Afya ni Hatari Wadau... Si kitu cha Kufurahia, Serikali ichukue hatua kutatua hilo, maelezo aliyoyatoa daktari kwenye Nipashe la juzi bila kutajwa Ndio Hali Halisi... Mgomo Baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…