RIPOTI MAALUM: Mtandao wa ufisadi, siri hadharani

RIPOTI MAALUM: Mtandao wa ufisadi, siri hadharani

Propaganda na Blalaaaaa tu thibitisha kwa kufanya Attachments ya Documents za mikataba hiyo hapa

Mwingine huyu hapa naye anataka ushahidi eti. Ukijifanya mjinga utakuwa mjinga kweli, oh hoo!
 
Ukimwona mtu anng'ang'ania ushahidi ujue anawajua mafisadi na anataka kuwaficha-Mh kangi Lugola katika mjadala wa fedha za swiss wa Mh Zzk
 
culmination ya huu mfumo wa ufisadi ni kumuweka lowassa rais 2015
 
Iko siku, iko siku hapa nchini kuna vigogo watachinjiwa baharini (shot at dawn at Coco Beach - a la Jerry Rawlings) ili nchi hii inyooke.

Eti ushahidi!!!! Ushahidi? Ushahidi utaingizwa kwanza kwenye mik**** yao kabla ya kumiminiwa shaba!!!!!!!
 
Subhash mmiliki wa Kunduchi Wet n Wild, Yaeleweka kwamba hata mtoto wa Marehemu waziri Kibona aitwaye Nisa Kibona aliyemaliza pale Johnson C Smith University alikuwa akilipiwa Ada ya Chuo na Subhash plus Kiwanja hicho inaonekana jamaa amepiga deals ndefu toka enzi za mzee Rukha, Mhe Nchimbi yasikika anajenga Apartments kwenye hicho kiwanja kazi ipo. Ufisadi utaisha kweli.
 
Back
Top Bottom