EL na kambi yake hawatufai, hata kidogo! hawa ni wezi tu! Nashangaa sana watu wanaowashadadia!
Ni muhimu sana kuonyesha ushahidi (wa mazingira au halisi). kutuhumu mtu bila ushahidi ni UMBEA
EL na kambi yake hawatufai, hata kidogo! hawa ni wezi tu! Nashangaa sana watu wanaowashadadia!
Halafu maji hayo ni machafu kweli. Niliwahi kuwa kwenye semina moja wakayaleta yaani ukiyaangalia unaona kabisa vumbi (particles) zinatembea humo. TBS memo hamna, jamaa wanaendelea kuwalisha waTZ vitu vichafu.
Hakuna facts hapa,weka ushahidi........
Kweli kiongozi, kauli hiyo inakera sana. utakuta kiongoz wa taasisi yenye dhamana ya kuchunguza na kushughulikia makosa yote nchini km IGP, DCI, DPP, Mwanasheria Mkuu, Usalama wa Taifa na mkuu wa walinda ufisadi nchini TAKUKURU, Wote hawa wanapoelezwa juu ya uharifu uliotokea sehemu au unaotokea sehemu, kitu cha kwanza wanachofanya ni kukanusha, kukejeli watoa taarifa za uharifu na mwisho kutaka wapelekewe ushahidi maofisini mwao badala ya kuanza kufwatilia kwa kina kabla ya kutoa majibu ya kipuuuuzi.Huu usemi wa kama una ushaidi ulete au tupatie ili tuwezekufanyiakazi suala husika, imekuwa fimbo yakuwachapia wale waleta hoja muhimu. Juzi tulisikia mwanasheria mkuu na waziri mkuu wakitaka mleta hoja awapelekee ushahidi wa waficha fedha nje. Hii inaonyesha viongozi wetu wote wanatetea uozo uliko ndani ya taasisi zetu nyeti. Pia inaonyesha kuwa kuna vibaraka wao tunaokwenda nao sambamba, wakiwatetea wahujumu uchumi wa nchi yetu. Watanzania walala hoi inabidi kujipanga, kwani MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAMO.
Mwambie mkuu anaweza kuwa Mkama huyo!! ushahidi! ushahidi! wabunge wa magamba, mawaziri, TISS na hata JK na polisi wanataka USHAHIDI!! na hata TAKUKURU!! NOnsense!! nilitegemea wangefanya jitihada za kutafuta ushahidi lakini wanatuma walipa kodi walete ushahidi. I am paying police, TISS, TAKUKURU to look for evidences damn shit!! inaudhi!! wanatutuma siye!!mkuu ni ushahidi gani unahitaji kuonyesha mazingira halisi? Kwa nini walimhonga Nape ukuu wa wilaya, nakuona kuwa haitoshi wakampa nafasi nyeti ya ukatibu E. wa chama? Kesi ya EPA ushahidi uko wazi, je viongozi wenye mamlaka wamefanya nini? Richmond (dowans) n.k, bado wewe unatakakuletewa ushahidi upi? Kama wewe siyo KENGE KWENYE MSAFARA WA MAMBA?
mkuu huyu mhindi hafanywi kitu sababu ni mfadhili mkuu wa dh.aifu,rostam na jk wamekutana barabarani lakini huyu shubash wamesoma wote goba sekondari,..nasikia anaweza kusimamisha msafara wa jk popote na mda wowote na mkuu wa kaya anaenda kumpigia goti,ikiwezekana hata vibao anaweza kuchapwa..hela noma
Tuhuma, Lawama
Tutafika kweli? Wakati umefika wa kuanza kuchukua hatua. Nani atamfunga paka kengele?
Ni muhimu sana kuonyesha ushahidi (wa mazingira au halisi). kutuhumu mtu bila ushahidi ni UMBEA