Ripoti CAG: Hesabu za TANESCO ni safi kabisa!

Kila anayemtetea mwezi wa kwanza, ni mnufaika wa matatizo yote ya watanzani kupitia wizara yake!

Umeme wa REA kwa sasa nao kimyaaa!

Kutoka 27 hadi laki tatu kuunganishwa umeme na urasimu wa hali ya mwezi wa kwanza

Tangu tangazo la kula kwa urefu wa kamba, hakuna wizara wala wala msimamizi wa hesabu atayesema ukweli na uozo wa maofisi na mawizara,

Mkaguzi wa hesabu naye anakula kwa urefu wa kamba yake, atathubutuje kuja na ukweli au uozo?

Tangu niwe kijana mpaka Leo hii, ndiyo Mara yangu ya kwanza kusikia Tanesco eti ni swaafi!!
 
Hivi Mwezi wa Kwanza ameingia hapo wizarani mwezi gani mwaka gani?
 
Kwa hiyo hujaelewa swali au? Mimi nilikuwa nataka kuona taarifa ya huyo Mkaguzi haijamgusa kwa nini? Huenda taarifa haijagusa muda amabo yeye ameingia hapo. Taarifa hiyo ni ya 2020/2021.
 
CAG ofisi yake itoe elimu Kwa umma!
Watu wako keen kumshambulia January wakija kushtuka. Kumbe wangejua wahusika wa muda huo, wangejitafakari.
January hakuwa hata Waziri!
 
Yule waziri anavyojua kuhonga anaweza kuhonga ili wizara isichafuke
Wala hajahonga. Report inaandaliwa kabla ukaguzi kufanyika. Anayetakiwa aonekane yuko vizuri lazima report iwe clean hata kama kuna madudu. Asiyetakiwa atapewa report chafu hata kama kama hakuna madudu
 
Report ya CAG ya mwaka 2021/2022 imeonesha kuwa Shirika la TANESCO ni moja ya mashirika safi kabisa halina shida yoyote kabisa!

Pamoja na makelele ya watu kuhusu mwenendo wa TANESCO lakini CAG report yake amesema ni shirika safi ....

CAG anaungana na Rais Samia ambaye anaona TANESCO ni shirika lenye tija sana na ufanisi!
hivi hii report ni ya 2021/2022 au 2020/2021?
 
Back
Top Bottom