Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,600
Abdul Wahab Zimbwe mola atamjalia,amuweke pema,hapo atakapofikia.Nalog off
Unaweza kutueleza chanzo cha kifo chake. Samahani lakini.
Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
pole sana mkuu,kila mtu ataondoka kinachogomba ni kutangulia.Nalog offInshallah brother yani sina raha the whole day nikifikiria walimpiga club arusha yani aarggh nimekuja JF kujifariji
Pole sana mkuu,
Mungu na ampumzishe kwa amani.
kijana mdogo sana
R.I.P ULLY
Sasa Tbag ukweli si ni huo unaujua? au huo wao hawaukubali?
pole sana kumpoteza rafiki wa karibu
Sasa ukweli upi kaka wakati mi nilikua Dar na mbaya zaidi wakati tuko nae alikua na Gari ya mzee wake basi weee!! naonekana nimeuza nimeingia mitini very frustrating mbaka nahisi na develop Schizophrenia sina amani kabisaaaaaaaaaaaaaa
ukweli kuhusu kupigwa kwake kulikosababishia maumivu na hat akupelekea kifo chake...!? na maongezi yenu kwenye simu...si ndio ukweli huo?
ahaa kwa hiyo kuna suala la gari hapo, ambalo ndo unahusishwa nalo....pole (inaelekea hii kitu ni pana zaidi)
Maelezo kwenye simu alinambia tu wamemdunda na maswala ya kua na internal bleeding nimepata kwa mzungu..kuna maswala ya gari laptop sijui nini yani aarghh af nikapata taarifa kua wame file case wanataka niwe shahidi sasa how can i??