Rip

Rip

Du! What a sad story!! The man was close to you ..and the way he ended .. very dramatic ... Take heart Brother!!

and..

.... R I P ..ULLY...


Man we acha tu on top of that the same same day nilipopata taarifa asubuhi naona watu wakawa wanapost kwa wall yangu Fb sasa nikawa nashangaa na usiku sijalala plus pombe nikasema ngoja niende kwao nika prove! ile naingia kwao naona wamama wana chambua mchele..JAMANIII...sitosahau ile moment..nikaanguka nimekuja kustuka naambiwa mama amegonga tegeta boda boda na hawezi hata kuongea na simu kapiga wasamaria wema..I'LL NEVER FORGET THE DAY!!! Maana nilitoka napekua toka Mbagala nawahi kumcheki mama..mawazo njiani sijui yuko katika hali gani maana hawezi hata kuongea nilijikuta nalia tu hata kutembea nashindwa!

Maisha haya jamani!

 
Alafu unakuta huyo Carol na wadogo zake waliompiga wako mtaa tu wanakula maisha. Haya mambo yanatia hasira sana
 
Nilikua nafanya nae kazi radio moja arusha, sharing same room nini na vitu kama hivo mwaka jana yeye akatangulia kuchukua likizo ilikua akitoka yeye mimi ndio nafata..siku anarudi mi nikawa naondoka...

sasa nimekaa dar kama wiki moja akanipigia simu kwamba birhday yake ambayo ni 19.12 atakua canada na dem wake hivo niwahi nirudi nikamsimamie harusi, basi nikakumbali 2 days baada ya pale akawa anafanya part time job pale boogaloo complex as a dj akawa kwa wiki wanampa kama 80 hivi na wakawa kama wiki mbili hawajamlipa kawa ameenda kudai malipo kwa dada mmoja hivi wa arusha anaitwa Carol akaambiwa asubiri ana mgeni huyoo carol.

akaambiwa anywe kinywaji sasa wakamkalisha kama 4 hours bila majibu na yeye alitakiwa kazini akaenda kumfata tena yule dada ..mchaga yule wa akaona dogo anamzingua akawaita wadogo zake wakampa kipigo cha nguvu wadogo zake ni machalii wa 3 na wote ni kuanzia age ya 25 na kwenda juu.
wakampiga akaokolewa akasepa.

next day akawa ana lalamika tumbo na kichwa vinamuuma na nakumbuka akanipigia tukaongea kama 30 minutes hivi na dem wake akanambia huyu rafiki yako ni mkorofi kapigana huko.
jioni yake jamaa kaenda kwenye mizunguko akaanguka njiani watu wakamkimbiza mount meru hospt.

nakumbuka akanambia hivi kua kichwa kinamuuma sana na hajui yuko wapi..baada ya hapo simu yake haikupatikana tenaaaaa!!!
jumamosi yake mi nikawa niko club naona namba ya dem wake ambae ni mzungu inapiga kwenye saa kumi za usiku..(sikutaka kupokea mana najua mida yao ya kupigana hiyo nikajua wamesha fumaniana) kumbe niilikua napewa taarifa kwamba Ully amefariki.

wakati matukio yote hayo yanaendelea mimi niko Dar..FAMILIA YAKE SASAAAAAA inani frustrate mbaka nakosa raha mbaka kesho leo kutwa simu za babake dada zake zinani sumbua kua ati najua ukweli..

Nashindwa nifanyaje honestly!!!!!!
Its very saddening story let allah put him in external life.Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom