20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,159 7,156 Jun 16, 2016 #3 Akajasembamba- said: Click to expand... Hahhaha ila wazee wa Sumbawanga watoa tangazo " *BREAKING NEWS* wazee wa sumbawanga wamewaambia TCRA wakifungiwa cm kesho watalikuta jengo lao malawi"
Akajasembamba- said: Click to expand... Hahhaha ila wazee wa Sumbawanga watoa tangazo " *BREAKING NEWS* wazee wa sumbawanga wamewaambia TCRA wakifungiwa cm kesho watalikuta jengo lao malawi"
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,894 67,644 Jun 16, 2016 #4 Akajasembamba- said: Click to expand... Jamani bange mbaya sana wacha ipigwe marufuku tu.
Muyobhyo JF-Expert Member Oct 9, 2014 8,149 6,544 Jun 16, 2016 Thread starter #5 DOUGLAS SALLU said: Jamani bange mbaya sana wacha ipigwe marufuku tu. Click to expand... wakati msukuma kasema ihalalishwe, ni zao la biashara kama mirungi
DOUGLAS SALLU said: Jamani bange mbaya sana wacha ipigwe marufuku tu. Click to expand... wakati msukuma kasema ihalalishwe, ni zao la biashara kama mirungi
David Harvey JF-Expert Member Jul 17, 2014 2,836 5,797 Jun 16, 2016 #6 Akajasembamba- said: Click to expand... kweli bange sio chai,hizi sio akili za kawaida aisee
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 51,670 48,198 Jun 16, 2016 #8 Leo wenye michepuko watafurahia sana
kabon14 JF-Expert Member Jun 14, 2016 1,233 867 Jun 16, 2016 #10 Kama wanandoto za kuwa wachekeshaj Ni bora wakamuone king MAJUTO awape mising ya fani hyo...!!!
BOB OS JF-Expert Member Dec 11, 2011 3,433 6,852 Jun 16, 2016 #11 kwa staili hii tanzania ya viwanda tusahau..