RIP Neil Armstrong!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
First man on the moon Neil Armstrong passes away!

600

(CNN) -- Neil Armstrong, the first man to walk on the moon, has died, his family said Saturday. He was 82.
"We are heartbroken to share the news that Neil Armstrong has passed away following complications resulting from cardiovascular procedures," Armstrong's family said in a statement.

Armstrong underwent heart surgery this month.

"While we mourn the loss of a very good man, we also celebrate his remarkable life and hope that it serves as an example to young people around the world to work hard to make their dreams come true, to be willing to explore and push the limits, and to selflessly serve a cause greater than themselves," his family said.

Source: CNN

Duh tumetoka mbali. Neil Armstrong alipotinga mwezini mwaka 1969 nakumbuka hata bendi ya Super Vea (Mwanza) iliimba wimbo wa Apollo Kumi na Moja, wakati huo tukiwa wanafunzi wa Chopra Sec (Mwanza sekondari) na ndio kwanza hospitali ya Bugando ilikuwa bado ni mwali. RIP Neil Armstrong!
 
Everybody seems to forget about the first dog on the moon, Leica.Anyway, Armstrong - you inspired many, including Gru from Despicable Me!
 
May god rest his soul in pease
he was a great Hero
kwenda kusikoendeka ni uthubutu wa ajabu..
mungu pia kamjaalia almost 82 yrs
sisi tunabofyabofya tu lakini mafanikio ya anga na sattellites ni hawa jamaa,Neil akiwa mmojawapo!!!

rip neil.
Jmn nauliza,
hivi safari ya mwezini ilikuwa ya kweli au kiini macho?
Mbona kuna watu wanatoa ushahidi mwingi wa kuipinga?
One day nitauweka hapa watu wauone coz toka nilipouona nikapata mashaka makubwa.
 
First man on the moon Neil Armstrong passes away!

600

(CNN) -- Neil Armstrong, the first man to walk on the moon, has died, his family said Saturday. He was 82.
"We are heartbroken to share the news that Neil Armstrong has passed away following complications resulting from cardiovascular procedures," Armstrong's family said in a statement.

Armstrong underwent heart surgery this month.

"While we mourn the loss of a very good man, we also celebrate his remarkable life and hope that it serves as an example to young people around the world to work hard to make their dreams come true, to be willing to explore and push the limits, and to selflessly serve a cause greater than themselves," his family said.

Source: CNN

Duh tumetoka mbali. Neil Armstrong alipotinga mwezini mwaka 1969 nakumbuka hata bendi ya Super Vea (Mwanza) iliimba wimbo wa Apollo Kumi na Moja, wakati huo tukiwa wanafunzi wa Chopra Sec (Mwanza sekondari) na ndio kwanza hospitali ya Bugando ilikuwa bado ni mwali. RIP Neil Armstrong!

"One mans small step, a huge leap for mankind" Gods speed Neil Armstrong.
 
1st man on the moon?Jamaa alikua mkristo mwenye imani sana so... Cjui ukweli uko wapi any more.
<strong><em><span style="font-family:century gothic;"><font size="4"><span style="color:#ff8c00;">
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwezi alimokanyaga na viatu huyu jama si ule unaotumika kama alama ya Uislamu? Au kuna mwezi mwingine? Kumbe alifika sehemu takatifu kwa waumini wa imani hiyo.
 
Ni juzi tu nimedownload picha yake akiwa na makamanada wenzake ikulu ya Marekani wakati wa uongozi wa Rais G.W.Bush. Bendera zangu nusu mlingoti wiki hii yote. Askari Kanzu alikuwepo mwaka huo, mimi nilikuja 10 years baadaye lakini sayansi ya anga iko moyoni mwangu na imeathiri mitazamo yangu kadha wa kadha.

Askari kanzu amezungumza habari zake za Mwanza... amenikumbusha kitu... dakika hii nausikiliza wimbo Kisa Cha Foto Album wa Zahir Ally Zorro, "Afadhali ingekuwa labda mie nimewahi kufika Mwanza....."

Pumzika Jemedari mwenye nguvu sana Neil Armstrong, tutakumbuka daima kauli yako:

"A small step for a man, a large leap for mankind."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom