Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,225
- 9,185
yuko jehanam sasa
huwa najaribu kujiuliza kama kuna uhusiana wa nchi ndogo kwa maana ya eneo na idadi ya watu na akili .Yaani nchi ndogo zinakua na watu wenye akili.Wayahudi ni makauzu na makatili sana, ila yote tisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye masuala haya ya ujasusi na jeshi hawa jamaa wako mbele sana na sijui kwanini. Maana nikianza kuwaangalia wayahudi kama Moshe Dayan, Henry Kissinger, Felix Dzerzhinsky, Leon Trotsky, Lavrentiy Beria, Julius and Ethel Rosenberg huwa nafikiria sana.
NB: Jamii ndogo sana ya watu lakini mziki wao ni mzito sana
Wamepewa uwezo huo na Mungu,kuna mahali kwenye Biblia Mungu amewabariki na kuwaambia kuwa wakimtii na kufuata maagizo yake atawapa uwezo askari 10 wa Israeli kuwashinda adui 100,askari 100 wa israel wataweza kuwashinda adui 1000,maneno hayo yaliendelea,andiko lipo.Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.
Mungu wa Ibrahim,Isaka,na Yakobo pia akasema,yeyote atakaye mbariki mwanangu Israel nitambariki,na yeyote atakae mlaani nitamlaani.Na kwa maneno hayo ndio maana Marekani akajichukulia fursa ya kulilinda taifa teule la Mungu,Israel ili kujipatia Mibaraka,na wao Wamarekani wanaamini mafanikio yao yanatokana na baraka za kulilinda taifa Teule Israel.Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.
Ha ha haa aisee wewe jamaa umenifanya nimecheka peke yangu kimya kimya ,da unavituko aisee.
Baraka kutoka kwa Mungu wao ,kwani Mungu wao huitwa Mungu wa Israel,kuwa watamiliki mali na utajiri na heshimaNaelewa lakini Wayahudi wamekuwa watata sana hata kabla ya vita ya pili ya dunia, maana kuna kikundi cha Wayahudi kama 40,000 kikiongozwa na Vladmir Lenin, Kamanev na Trotsky na wenzake walipundua Urusi yote na kuvuruga kabisa mzani wa dunia. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi kilikuwepo kule Ujerumani na Austria kikiongozwa na Theodor Herlz ndiyo kilimpokonya Ujerumani ushindi wa vita ya kwanza ya dunia mwaka 1917. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi ndicho kikiongozwa na Paul Warbug ndicho kilitengeneza The Federal Reserve ya Marekani ambayo ndiyo inaendesha Marekani ya leo.
Hapo bado hatujawataja wakina Nathan Rotschild na watoto zake waliotawala mifumo yote ya benki ya Ulaya hadi leo hii, wana kitu gani cha ziada maana kama utata hawajaanza leo. Hata kabla ya mateso na kufukuzwa Yerusalem historia inatuambia walikuwa wanafanya makubwa sana.
Do you believe in Eugenics? It works very well: The Jews have been practicing it for centuries.
Wakuu Wick na Red Giant do you believe in Eugenics Programme?
Na pia walifanikiwa kumrekodi Obama na Sarcozy,wakiwateta wayahudi hawa,ha ha ha haLazima uwe brilliant maana bila kuwa brilliant huwezi kufika mbali kwenye jamii kama ile. Kuna kipindi waliwahi kumrekodi Richard Nixon akisema hawaamini sana Wayahudi na wanavuruga Marekani alisema "These Jews are natural born spies"
Nchi ndogo ni rahisi sana kuzitawala kwasababu ni rahisi mara nyingi huwa zinakuwa na idadi ndogo ya watu hivyo hupelekea mipango ya maendeleo kufanyika kwa ufanisi. Upande mwingine udogo wa nchi huwaunganusha watu kwa urahisi na kufanya sehemu za nje ya makao makuu kuonekana na kufikiwa kirahisi kwasababu miji na vijiji huwa inakuwa jirani sana.huwa najaribu kujiuliza kama kuna uhusiana wa nchi ndogo kwa maana ya eneo na idadi ya watu na akili .Yaani nchi ndogo zinakua na watu wenye akili.
UK
Japan
Israel
Cuba
etc
Au inatokea tu kwa bahati nzuri?
Ile ambayo Sarkozy alisema He's tired of dealing with Benjamin Netanyahu because he's a liar au ipi ??Na pia walifanikiwa kumrekodi Obama na Sarcozy,wakiwateta wayahudi hawa,ha ha ha ha
Sasa kuna maswali ambayo mimi hapa nataka nieleweshwe kidogo. Kwani kuna jamii ambazo ni bora kuliko nyingine hapa duniani, au kuna jamii ambazo zimebarikiwa kuliko nyingine ???Baraka kutoka kwa Mungu wao ,kwani Mungu wao huitwa Mungu wa Israel,kuwa watamiliki mali na utajiri na heshima
Mungu wa Ibrahim,Isaka,na Yakobo pia akasema,yeyote atakaye mbariki mwanangu Israel nitambariki,na yeyote atakae mlaani nitamlaani.Na kwa maneno hayo ndio maana Marekani akajichukulia fursa ya kulilinda taifa teule la Mungu,Israel ili kujipatia Mibaraka,na wao Wamarekani wanaamini mafanikio yao yanatokana na baraka za kulilinda taifa Teule Israel.
Lakini sasa kikosi kidogo cha wanamgambo wa Hezbollah kililisumbua sana jeshi lote la Israeli mwaka 2006-2007. Kwanini mkuu ???Wamepewa uwezo huo na Mungu,kuna mahali kwenye Biblia Mungu amewabariki na kuwaambia kuwa wakimtii na kuata maagizo yake atawapa uwezo askari 10 wa Israeli kuwashinda adui 100,askari 100 wa israel wataweza kuwashinda adui 1000,maneno hayo yaliendelea,andiko lipo.
Hah ha haa ,watakua walikiuka maagizo ya Mwenyezi Mungu,hata enzi hizo kuna kipindi walikua wanachukua kisago ile mbaya,wantekwa na kuteswaa,wananyang'anywa ardhi.wakikaa wanajiuliza kwa nini tumepigwa wanagundua kuwa walikiuka maagizo ya Mungu,wanatubu,wakirudi tena wanawaangamiza madui zao.Lakini sasa kikosi kidogo cha wanamgambo wa Hezbollah kililisumbua sana jeshi lote la Israeli mwaka 2006-2007. Kwanini mkuu ???
Most likelyIle ambayo Sarkozy alisema He's tired of dealing with Benjamin Netanyahu because he's a liar au ipi ??
Mkuu swali hili siwezi kulijibu kwani liko juu ya uwezo wangu,pengine walitubu dhambi zao hao GERMAN NA RUSSIA ndio maana Mungu akawasameheKuhusu kulaaniwa kwa kuwachukia Wayahudi, binafsi naomba niulize swali dogo la kihistoria. Hivi kwanini mataifa yaliyohusika na kuua Wayahudi wengi kama Ujerumani na Urusi ndiyo mataifa yenye mafanikio makubwa sana hapa duniani, kiuchumi na kijeshi ???
NB: Kwanini Ujarumani haijalaaniwa mpaka leo hii na wanazidi kufanikiwa tu ???
Sawa mkuu nadhani atakuja kutusaidia mtu mwingine kulijibu hili swali.Mkuu swali hili siwezi kulijibu kwani liko juu ya uwezo wangu,pengine walitubu dhambi zao hao GERMAN NA RUSSIA ndio maana Mungu akawasamehe
Kuna mtu mmoja humu anaitwa Eiyer nadhani anaweza kutusaidia haya masuala ya kiroho zaidi,au baadhi ya wachungaji humu jamvini wapo wengi tu.Sawa mkuu nadhani atakuja kutusaidia mtu mwingine kulijibu hili swali.
Mkuu naomba niseme kwa mara nyingine tena swali hili jingine pia ni kubwa sana kwangu,hata hivyo linahitaji kujipanga na maandalizi ya data na marejeo,hivyo basi nakuomba ulilete kama mada kamili inayojitegemea jukwaa hilihili.wapo akina zitto junior wanaweza kutusaidia kwani wanamaelezo kua mtu mweusi aliistaarabisha dunia kabla ya wazungu,wakati huo tunaona wazungu wako juu kwa kila kituSasa kuna maswali ambayo mimi hapa nataka nieleweshwe kidogo. Kwani kuna jamii ambazo ni bora kuliko nyingine hapa duniani, au kuna jamii ambazo zimebarikiwa kuliko nyingine ???
We jamaa uko vizuri sana,Mkuu mimi sina utaalamu sana, lakini ninachojua ni kwamba Cyber Operations au Cyber Warfare huwa zinakuwa ni Support Operations ambazo hutumika kusaidia Military Operations zifanyike vizuri na kwa urahisi. Maana Cyber Warfare in sehemu kuu mbili, CNE (Computer Network Exploitation) and CNA (Computer Network Attacks).
Mbinu hizo mbili ambazo nimezitaja hapo juu hutumika kuvuruga utendaji kazi wa miundombinu ya adui kama Benki na mifumo mingine ya kipesa ya nchi au mifumo ya mawasiliano kwa kutumia DoS Attacks -Denial of Service Attacks. Wakati haya yanaendelea uvamizi halisi wa kijeshi unaweza kufanyika sasa kwasababu nchi inakuwa imezoroteshwa kwa kiwango kikubwa.
Mfano mzuri ni jinsi Urusi alivyovamia Crimea mwaka 2014, na Georgia mwaka 2008. Mifumo yote ya mtandao ya nchi hizi ilivurugwa huku majeshi ya Urusi yakifanya uvamizi kwa urahisi.
NB: Mpaka sasa mbali na mashambulio makubwa kama yale ya Estonia mwaka 2007 na Stuxnet kule Iran mwaka 2010 sijawahi ona Cyber Attacks katika kiwango kile ambacho filamu za Hollywood zinatuonesha.
Bado sana huenda huko mbeleni ikaja tokea, Ila Cyber Warfare inaenda kuwa sehemu muhimu sana katika vita vya dunia ijayo.