RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

Wayahudi ni makauzu na makatili sana, ila yote tisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye masuala haya ya ujasusi na jeshi hawa jamaa wako mbele sana na sijui kwanini. Maana nikianza kuwaangalia wayahudi kama Moshe Dayan, Henry Kissinger, Felix Dzerzhinsky, Leon Trotsky, Lavrentiy Beria, Julius and Ethel Rosenberg huwa nafikiria sana.

NB: Jamii ndogo sana ya watu lakini mziki wao ni mzito sana
 
Ongezea hapo na king of shadows, Meir Dagan

Naam mkuu! Suala sio mko kiasi gani bali mmeji-organise kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana hatari sana hawa jamaa, sijui kwanini wako hivi.
Historia chafu, mateso na manyanyaso waliyowapata hawa watu na hasa kuishi 'ugenini' kuliwafanya akili ziamke na kuyasaka maisha kwa nguvu zote. Ni kama 'watoto wa kambo tu' au watoto waliolelewa bila wazazi, wengi wao huwa ni wenye mafanikio sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom