RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

Historia chafu, mateso na manyanyaso waliyowapata hawa watu na hasa kuishi 'ugenini' kuliwafanya akili ziamke na kuyasaka maisha kwa nguvu zote. Ni kama 'watoto wa kambo tu' au watoto waliolelewa bila wazazi, wengi wao huwa ni wenye mafanikio sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama manyanyaso hata weusi wamenyanyaswa sana huko Marekani lakini mbona hawabadiliki kabisa na kila siku wanazidi kuvurugikiwa ?

Watu weusi wamekuwa brainwashed tofauti na israel walipokuwa kwenye camp za mateso. Ilikiwa ni direct mateso but no brainwash.
Still waliweza ku maintain identity yao to the end

Walishawahi kuwa brainwashed na Wagiriki kipindi cha Antiochus IV hadi wakaanza kula kitimoto, kuoa wanawake wazungu, ushoga na kutofanya tohara. Umeshawahi kuwasikia Wamakabayo mkuu ?

Nazungumzia from World war II. Ambayo ili wa dismantle vibaya mno. It not about ancient history wkt huo hakukuwa na serikal za kueleweka.
Kwa kilichowatokea na bado wamestahimili na kurudi nyumban kweli wame fight.
Muweke mwafrika kwenye similar scenario uone kama hajageuka na kusupport wakoloni.

(And kuhusu kula kitimoto. Hilo halikwepeki.. mdudu is there for life hahahaa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama manyanyaso hata weusi wamenyanyaswa sana huko Marekani lakini mbona hawabadiliki kabisa na kila siku wanazidi kuvurugikiwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitazama maendeleo ya nchi moja na nyingine, ukanda mmoja na mwingine, pande moja hadi nyingine ya dunia lakini muhimu mbali (race) moja hadi nyingine, nilichokigundua ni kuwa Historia, imani (dini), mazingira (geography) inaathiri sana misingi mikuu ya maendeleo.

Misingi hii ni hii... MAADILI, UWAJIBIKAJI, UADILIFU, UTII WA SHERIA, NIDHAM NA MAPENZI YA KAZI, KUJALI MUDA NA AHADI NA MUHIMU ZAIDI ULE MOYO WA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA.

Chukua mfano, mimi nimekulia mikoa ya tabora.. Historia na misingi ya imani kule imeathiri familia na jamii kwa ujumla na kuifanya kuwa nyuma kabisa kimaendeleo ukilinganisha na mikoa kama ya kule kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazungumzia from World war II. Ambayo ili wa dismantle vibaya mno. It not about ancient history wkt huo hakukuwa na serikal za kueleweka.
Kwa kilichowatokea na bado wamestahimili na kurudi nyumban kweli wame fight.
Muweke mwafrika kwenye similar scenario uone kama hajageuka na kusupport wakoloni.

(And kuhusu kula kitimoto. Hilo halikwepeki.. mdudu is there for life hahahaa)

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa lakini Wayahudi wamekuwa watata sana hata kabla ya vita ya pili ya dunia, maana kuna kikundi cha Wayahudi kama 40,000 kikiongozwa na Vladmir Lenin, Kamanev na Trotsky na wenzake walipundua Urusi yote na kuvuruga kabisa mzani wa dunia. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi kilikuwepo kule Ujerumani na Austria kikiongozwa na Theodor Herlz ndiyo kilimpokonya Ujerumani ushindi wa vita ya kwanza ya dunia mwaka 1917. Kuna kigenge kingine cha Wayahudi ndicho kikiongozwa na Paul Warbug ndicho kilitengeneza The Federal Reserve ya Marekani ambayo ndiyo inaendesha Marekani ya leo.

Hapo bado hatujawataja wakina Nathan Rotschild na watoto zake waliotawala mifumo yote ya benki ya Ulaya hadi leo hii, wana kitu gani cha ziada maana kama utata hawajaanza leo. Hata kabla ya mateso na kufukuzwa Yerusalem historia inatuambia walikuwa wanafanya makubwa sana.

Mkuu ukitazama maendeleo ya nchi moja na nyingine, ukanda mmoja na mwingine, pande moja hadi nyingine ya dunia lakini muhimu mbali (race) moja hadi nyingine, nilichokigundua ni kuwa Historia, imani (dini), mazingira (geography) inaathiri sana misingi mikuu ya maendeleo.

Misingi hii ni hii... MAADILI, UWAJIBIKAJI, UADILIFU, UTII WA SHERIA, NIDHAM NA MAPENZI YA KAZI, KUJALI MUDA NA AHADI NA MUHIMU ZAIDI ULE MOYO WA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA.

Chukua mfano, mimi nimekulia mikoa ya tabora.. Historia na misingi ya imani kule imeathiri familia na jamii kwa ujumla na kuifanya kuwa nyuma kabisa kimaendeleo ukilinganisha na mikoa kama ya kule kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Do you believe in Eugenics? It works very well: The Jews have been practicing it for centuries.
Wakuu Wick na Red Giant do you believe in Eugenics Programme?
 
Back
Top Bottom