Rip makidara elias mossi

Rip makidara elias mossi

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Alikuwa mbunge wa siha kabla ya aggrey mwanri. Leo ndio anazikwa kijijini kwake huko sanya juu
 
Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi.

Alikuwa mbunge wa siha kabla ya aggrey mwanri. Leo ndio anazikwa kijijini kwake huko sanya juu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kimaro alikuwa mgonjwa au ajali ?.Huyu jamaa alikuwa kichwa sana tangu akiwa Chuoa cha Ushirika Moshi.

Aligongwa na gari maeneo ya Africana tarehe 30/1/2013 na kuuga dunia.
 
Last edited by a moderator:
ajali mkuu looh nimesikitika sana
 
wakati marehemu akiwa mbunge maeneo yote ya kilimanjaro isipokuwa majimbo ya wapare yalikuwa chini ya upinzani! rip kamanda!
 
REQUIEM Makidara Elias:
Pumziko la Milele umpe ee Bwana,
Na mwanga wa Milele umwaangazie,
Apumzike kwa amani...
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
 
Eee Mungu, mpe raha ya milele kwenye bustani yako huyu school-mate wangu Arusha Secondary School.
 
Back
Top Bottom