Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Katutoka jana.
Habari zaidi zitawajia kuhusu alivyoanza kuchizi hadi kifo chake pamoja na historia ya maisha yake.
RIP John Mjema
Katutoka jana.
Habari zaidi zitawajia kuhusu alivyoanza kuchizi hadi kifo chake pamoja na historia ya maisha yake.
RIP John Mjema
Mungu ametoa,Bwana Mungu Ametwaa,Jina lake lihimidiwe?
hivi John Mjema ndio yule ndio msanii wa kizazi kipya cha kina Rich- Monduli?
Mungu ametoa,Bwana Mungu Ametwaa,Jina lake lihimidiwe?
hivi John Mjema ndio yule ndio msanii wa kizazi kipya cha kina Rich- Monduli?
Huyu alikuwa na kundi lake la 'Mambo Poa', akiwa na Spider na Marehemu Steve 2K. Nyimbo zake ni pamoja na 'Mimi sio Mwizi, Bomba la Mvua na Wachumba 30'
RIP John.
Nani alimchoma kisu Steve 2k?
Nani alimchoma kisu Steve 2k?
Katutoka jana.
Habari zaidi zitawajia kuhusu alivyoanza kuchizi hadi kifo chake pamoja na historia ya maisha yake.
RIP John Mjema
Katutoka jana.
Habari zaidi zitawajia kuhusu alivyoanza kuchizi hadi kifo chake pamoja na historia ya maisha yake.
RIP John Mjema
Mugo"The Great";140177 said:Mwanamuzi wa kizazi kipya ajiua kwa kisu Dar
Na Beatrice Charles
?Tulikuwa tikimsikia akisema mara kwa mara kuwa yeye ameathirika,? alisema Kassim.
Mjema alikuwa anaumwa kwa muda mrefu na kwamba alikuwa ameanza kuchanganyikiwa akili, hali ambayo ilimfanya afikie hatua ya kuanza kuvua nguo.
Alisema kabla ya kufariki Mjema alikuwa chini ya uangalizi wa ndugu zake kutokana na majaribio ya kutaka kujiua.
Pumzika kwa amani John,
Matukio ya wengi kujimaliza baada ya kujua/kuhisi kuwa wamepata VVU, yanaongezeka.
Hapa kuna tatizo, nafikiri katika system nzima kuanzia kwenye ushauri nasaha hadi kwenye social support/post counseling.
Binasfi haya maneno 'kuathirika' na 'kuishi kwa matumaini' siyapendi na ninaona yana ashiria unyanyapaa.
kitengo cha ustawi wa jamii kiwezeshwe, ilikuwapa nafasi kina John Mjema kuendelea kuishi.
DaahWanasema majani ndio yamechangia yote hayo..alichizi akapelekwa milembe aliporudi ndo ngoma ikadata zaidi....Jani nomaa wasanii wa bongo...
Kama wale TMK ipo siku nao watakuja data inaeleweka wazi kuwa hawapandi kwa stage bila kupuliza..mabalaa yake ndo hayo msongo wa mawazo unaamua kupiga mkameme..
Wachumba 30Katutoka jana.
Habari zaidi zitawajia kuhusu alivyoanza kuchizi hadi kifo chake pamoja na historia ya maisha yake.
RIP John Mjema