Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Sep 2, 2025 #1 Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha. Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki. #COCOFM #ladhayapwani Chanzo: Pwani Fm
Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha. Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki. #COCOFM #ladhayapwani Chanzo: Pwani Fm
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,449 Reaction score 127,624 Sep 2, 2025 #2 Pdidy said: Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha. Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki. #COCOFM #ladhayapwani Click to expand... Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umemchukua mazima.
Pdidy said: Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha. Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki. #COCOFM #ladhayapwani Click to expand... Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umemchukua mazima.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,501 Reaction score 27,786 Sep 2, 2025 #3 GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... ww jamaa bhna 😁😀
GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... ww jamaa bhna 😁😀
Terrible Teen JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 1,233 Reaction score 3,541 Sep 2, 2025 #4 GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... Ni ugonjwa gani?
GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... Ni ugonjwa gani?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Sep 2, 2025 #5 GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... Alivyosema au alivyo???
GENTAMYCINE said: Ulivyosema tu kuwa anaitwa TOTO BOMBA sitaki tena kupoteza muda Kuuliza ni Ugonjwa gani ambao umechukua mazima. Click to expand... Alivyosema au alivyo???
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,449 Reaction score 127,624 Sep 2, 2025 #6 Terrible Teen said: Ni ugonjwa gani? Click to expand... Itakuwa ni Dally Kimoko tu huo Mkuu na hakuna mwingine. Umeshaambiwa alikuwa akiitwa TOTO BOMBA unategemea nini?
Terrible Teen said: Ni ugonjwa gani? Click to expand... Itakuwa ni Dally Kimoko tu huo Mkuu na hakuna mwingine. Umeshaambiwa alikuwa akiitwa TOTO BOMBA unategemea nini?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,449 Reaction score 127,624 Sep 2, 2025 #7 Ngalikihinja said: Alivyosema au alivyo??? Click to expand... Ni sawa na kutaka nikupe tofauti ya Abdallah na Dulla.
Ngalikihinja said: Alivyosema au alivyo??? Click to expand... Ni sawa na kutaka nikupe tofauti ya Abdallah na Dulla.