RIP Ernest Chonjo wa Arusha

sio tu wajanja ni majambazi kamilifu
bila kuona damu awajajisikia wamefanikiwa hata uwaache mabilioni hio ndio chooooonjooo wameshinda wakiza mtoto wakamwita ka darasani anaitwaje??Hmwork sasa
 
ukiongea mtu kuwa ni jambazi uwe na ushahidi ila kuongea tu kwa kusikia ni dhambi kubwa yawezekana ukamfata alikoenda .mungu analipa haraka sana chunga mdomo wako
 
I just want to remind you dear forum members this space is is for great thinkers. what is there for great thinkers to analyse in on big development issues not rubbish. Ernest is dead by now how can waste your time discussing a dead person? fair enough one member knows the family well how does he fail to stop this stupid conversation of wale waizi was magari? by telling them that is part of business and that till the time of death that is not what. he was doing! if that was done even if by any family member that was long ----ing time! who is not a thief in Tanzania? I comment a thief because he is paving his way to life than a person who puts his buttocks down to discuss people! " simple minds discuss people, ideal minds discuss ideas, compound minds issues!
 
ni kweli usemavyo, lakini kuna watu witoka kwenye nyuchi za mama zao wakiwa na virus ya uzandiki, kushabikia maneno wasiojua uongo na uzushi wizi was gari ni biashara kama biashara zingine mbaya kuua na kunyanganya MTU gari pale were ni jambazi lakini chonjo wrote walioshiriki hii biashara hawakuwahi kunyanganya wala kushika bunduki. kwa taarifa tu kwa hao wajinga wanaokunya maneno MTU anaeiba gari ni MTU ana akili nyingi kushinda msafirisha unga hivyo mheshimu.
 
Kweli nimeamini kiinglish ni janga,....pole mkuu
 
kwanza wewe nduka ndio fsrasi kabisa kujifanya unawajuwa akina chonjo na kuwaorodhesha, Johnson ni mkubwa wa Benson? wacha uzandiki. na kuna mmoja hamumjui basis. ya mini kuongelea vitu vya kubahstisha????
 
Presha pia inaua mkuu!!!!
 
kwanza wewe nduka ndio fsrasi kabisa kujifanya unawajuwa akina chonjo na kuwaorodhesha, Johnson ni mkubwa wa Benson? wacha uzandiki. na kuna mmoja hamumjui basis. ya mini kuongelea vitu vya kubahstisha????

Dada una-sound kama nakujua... Punguza MUNKARI Dada.
 
mmmh.... NABAKI AFRIKA!!!! r.i.p english
 
duh! lugha ya malkia inasumbua..
 
duh saaasa hiki kidhungu babu kubwa .....kwa nn usiandike hata kipare eti bwasheee
 
Eeeeeeeh hii ndo BRN kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…