Erick Chonjo ameingiaje hapa? Au huyu atakuwa ni Erick mwingine tofauti na huyu wa prof. Chonjo? Vinginevyo tujitahidi tusichafue majina ya watu ili mradi tu ni Chonjo. Ninamfahamu Erick Chonjo (Bambi) ndugu na Alan Chonjo ambao ni wastaarabu waliozaliwa katika familia ya kistaarabu na wanahangaika na maisha yao huku Erick Chonjo akimiliki kampuni yake ndani na nje ya nchi na mdogo wake akiwa Meneja katika kampuni moja ya inayotengeneza vinywaji. Kwa hiyo tusaidie hapa huyu Erick Chonjo ni yupi?

Hivi leo tumempoteza rafiki yetu Ernest Chonjo mfanyabiashara wa mjini Arusha. Ernest amekuwa akifanya biashara hapa nchini na nje ya nchi. Kwa wale wanaojua Arusha ya miaka ile Ernest alikuwa ni mmoja wa wamiliki wa Bar aliyokuwa maarufu miaka ya tisini - BARRACUDA BAR.
Ernest amefia mjini Nairobi leo jioni.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Kwa mara ya kwanza kusikia kuwa Arusha imefiwa na mfanyabiashara ba si bilionea.Poleni sana wana Arusha
Mkuu......huyo Erick unayekataa yupo.......huyu yupo Marekani.......sio huyo wako unayemzungumzia.......
Mkuu yupi kati ya hawa anasemekana ni jambazi la kufa mtu!
Chonjo ni mfanyabiashara au JAMBAZI? Mimi namfahamu kama lijambazi SUGU. Go in hell CHONJO
hao jamaa waache tu!..maana na Dar es salaam kila mtu akifa watu waamue kuanzisha thread hili jukwaa litakuwa ni jukwaa la vifo!kwa arusha kila kifo kwao ni habari ya kuanzishia uzi hata kama aliyevuta hana umaarufu
nadhani Aru kila familia yenye watoto wa kiume zaid ya 5, mmoja ni jambaz
Aliiba gari la mama yako?
Hapana Falme ndio mkubwa, Erenest anmfuata Henry.
1. Falme Chonjo
2. Johnson Chonjo
3. Benson Chonjo
4. Henry Chonjo
5. Ernest Chonjo - RIP
6. Erick Chonjo
7. Shamsia Chonjo
Acha kukurupuka! Jambazi siyo yeye ila ni ndugu yake, wewe ni mavi kabisa.