Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Ernest ndie Falme Chonjo?? Au Top??
huyu chonjo ndiye yule mwizi wa magari Arusha?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Arusha, ivi ma donn wenu mbona wanakufa sana?
Aliiba gari la mama yako?
Aliiba gari la mama yako?
Dah.......Chugga mwaka huu wetu.......RIP Ernest.......
Gabriel mtoa roho naona amehamishia makazi yake Arusha.
Poleni sana. Naona huyu hawajamuita bilionea..
Hapana!aliiba gari langu baada ya kustaafu!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA