pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Sasa uchumi ukiendeshwa kwa wastani wa asilimia flani si inamaanisha kwamba uchumi wenyewe upo pale pale na haukui? Uchumi wa Tz unakua, punguza tantarira buana. Wewe nawe kiingereza haupo kiswahili pia haupo, ruksa kwako kutumia kikikuyu chako tu. Tutajaribu kukuelewa.Swali: JPM anaendesha Uchumi kwa wastani wa asilimia ngapi?
Dah..mkuu umenifanya nicheke kwa sauti kuu wakati watu wamelala!!Direction:
....snake one by one then... (nyoka moja kwa moja kisha....!
Kama hamtaki English nini mkue na gazeti za English... Usijutete hapa buda
Fine then,Swahili is my 3rd Language..Whats the % growth of Tz Economy?Sasa uchumi ukiendeshwa kwa wastani wa asilimia flani si inamaanisha kwamba uchumi wenyewe upo pale pale na hukui? Uchumi wa Tz unakua, punguza tantarira. Wewe nawe kwa kiingereza na kiswahili pia hupo, ruksa kwako kutumia kikikuyu chako tu. Tutajaribu kukuelewa.
What's the point if teaching English in your schoolsSiyo hatutaki lkn sikumuelewa LAZIMA kujua kiingereza.
Na haiko kwenye vipao mbele vya kuinua uchumi.
Ila kiswahili tunakijumuisha katika ukuzi wa uchumi wa viwanda.
Haha bro umepanik hadi Vizuri...iyo picha imesambaa sana jana whatsap..ni kitukoKama hamtaki English nini mkue na gazeti za English... Usijutete hapa buda
Imetosha mkuu khaaWhat's the point if teaching English in your schools
Sasa na wewe kama si limbukeni hilo kosa wewe personally linakuhusu nini? Are you brit? Pilipili iliyopo shamba yakuwashia nini?What's the point if teaching English in your schools
Hahahahaa hivo ni vile viblog uchwara.Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juuView attachment 736662....mtumie kiswahili tafadhali
Povun't you? 😀Sasa na wewe kama si limbukeni hilo kosa wewe personally linakuhusu nini? Are you brit? Pilipili iliyopo shamba yakuwashia nini?
hahhahahahahhahaPoor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juuView attachment 736662....mtumie kiswahili tafadhali
Hatari,lugha ya watu,tunaikosea sana,Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juuView attachment 736662....mtumie kiswahili tafadhali