Kuna wale vichaa wanaotumia simu za mchina, ukiwa floor ya kwanza inaita hadi wa floor ya 5 anasikia.
Kwanini wasiweke vibration?
vyote kwa pamoja! Sasa ukikumbuka majamboz sehemu ambayo si sahihi napo si shida tu?
Huyo sio kijana wa field??Hivi nyie mnaoweka ringtone za mahaba mahaba huwa mnafikiria nini? Yaan simu ikiita kama mko ofisin au sehem nyingine ya heshima hadi unaona aibu.
Kuna kijana hapa ofisin simu ina ringtone utadhan ni recorded wakati wa tendo la ndoa!
Jaman jifunze kuweka ringtones za heshima hasa mnapokuwa maofisini.
Kuna wengne wanaweka hiphop na nyimbo nyingne za ajabu simu ikiita utadhani redio imewashwa hasa zile za mchina zenye spika kubwa
kuna watu wanakera sana sema hawajui tu
sidhani kama kuna umuhimu wakumchagulia ringtone mtu mwenye simu yake, kama yeye inamfurahisha mwache awe happy mpaka atakapoingia kaburini, fanya yako, achana na yasiyokuhusu,,
. Uhuru lazima uwe na mipaka eti! ina udhi ni rafiki kaweka mlio wa Darling, babe pokea simu huwa unanikera nimejaribu mwambia hiyo simu hapigiwi na mkewe tu.hii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
wanasumbuliwa na ushamba na hata hawapend hata kuulza il wasaidiwe,wana act kuwa wana kifaa kumbe hakuna lolote.
. Uhuru lazima uwe na mipaka eti! ina udhi ni rafiki kaweka mlio wa Darling, babe pokea simu huwa unanikera nimejaribu mwambia hiyo simu hapigiwi na mkewe tu.
Asante kwa kuniunga mkono sijui ni ulimbukeni au ndio ujinga wenyewe.hata mi nimeiskia hii mkuu, taabu sana
Hivi nyie mnaoweka ringtone za mahaba mahaba huwa mnafikiria nini? Yaan simu ikiita kama mko ofisin au sehem nyingine ya heshima hadi unaona aibu.
Kuna kijana hapa ofisin simu ina ringtone utadhan ni recorded wakati wa tendo la ndoa!
Jaman jifunze kuweka ringtones za heshima hasa mnapokuwa maofisini.
Kuna wengne wanaweka hiphop na nyimbo nyingne za ajabu simu ikiita utadhani redio imewashwa hasa zile za mchina zenye spika kubwa
Hivi nyie mnaoweka ringtone za mahaba mahaba huwa mnafikiria nini? Yaan simu ikiita kama mko ofisin au sehem nyingine ya heshima hadi unaona aibu.
Kuna kijana hapa ofisin simu ina ringtone utadhan ni recorded wakati wa tendo la ndoa!
Jaman jifunze kuweka ringtones za heshima hasa mnapokuwa maofisini.
Kuna wengne wanaweka hiphop na nyimbo nyingne za ajabu simu ikiita utadhani redio imewashwa hasa zile za mchina zenye spika kubwa
Asante kwa kuniunga mkono sijui ni ulimbukeni au ndio ujinga wenyewe.
pole sana mkuu, mambo ya kidijitali hayo! mbona wewe ni kibabu lakini upo kidijitali zaidi (kwa mujibu wa avatar yako)? hahahahahaha!
simu yangu hata call tune nimeziondoa kuna boss wangu mmoja alinishauri kibiashara siyo nzuri mtu anakupia simu badaya kusikia mlio kama ule wa simu za mezani anaanza kukumbana na hotuba za kina masanja mkandamizaji.
kwakweli kila mtu ajipime mwenyewe anadili na watu gani, hata hizi mambo za Quran na nyimbo za injili kwenye call tune si kitu kizuri hasa kwa sisi wajasiliamari tunaodeal na watu tofauti tofauti.