Rimoti ya hii TV inanitesa

Rimoti ya hii TV inanitesa

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
Wakuu habari zenu?

Nilinunua tv ya mtumba aina ya sharp 32 inches , TV naipenda na sina mpango wa kuipiga chini hivi karibuni ila changamoto ya hii tv ilikuja bila rimoti na nimetafuta bila mafanikio lakini sipati remote yake.

Natumia kifaa chenye infrared port lakini sion kabisa ikikonect, Pia nimejaribu universal rimoti moja bila mafanikio , naombeni msaada kokote kule itakakoweza aptikana ata kama pengine mtu anayo na tv ilishaharibika aniuzie.

TV ni Smart TV na model yake ni Sharp lc 32Hi 5332kf model yake
 
Lile jicho la tv linapokea remote litakua limekufa. Ndio tabu ya vitu vya mtumba.
 
Tuonane kesho kariakoo nikupatie remote ya TV yako
 
Back
Top Bottom