Rihanna wa Bongo?

Sina maana mbaya lakini anaonekana kama mchafu
 
Mmmh na huo mtumbo wote huo?? makongoro hayo na supu za asubuhi asubuhi na bia za kuzimua za bure
 
well sijui!
pengine kwa kuwa mimi ni mwanamke
but ningekuwa mwanume nisingeweza kuvutiwa na mwanamke anayenionyesha kila kitu hivi tukiwa barabarani!
those daaaamn things ningekuwa navutiwa navyo nikiwa rooom mwenyeeeewe!PHEW!
 
Snowhite Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Mwanamke anayeonyesha kila kitu cha siri wazi wazi kwa kila mtu ni vigumu kumtofautisha na kichaa
 
Haka katoto kazuri sana...tatizo kana vinyonyo vidogoooooooo.....
Duuh.. Umijuaje wewe..? Na ucije sema ati kwa kumuangalia tu ndo ujue kama vichuchu vyake vduchu.. Shemeji yetu nini..?
 
well sijui!
pengine kwa kuwa mimi ni mwanamke
but ningekuwa mwanume nisingeweza kuvutiwa na mwanamke anayenionyesha kila kitu hivi tukiwa barabarani!
those daaaamn things ningekuwa navutiwa navyo nikiwa rooom mwenyeeeewe!PHEW!
Bado anatafuta soko ndugu yangu, pengine akishapata atafanya kama ulivyosema.
 
Naona kashika mnyamwezi mkononi.. Au macho yangu..? Mafisi yanatunza dola ilimradi tu wamrekebishe mtoto wa watu..
 
well sijui!
pengine kwa kuwa mimi ni mwanamke
but ningekuwa mwanume nisingeweza kuvutiwa na mwanamke anayenionyesha kila kitu hivi tukiwa barabarani!
those daaaamn things ningekuwa navutiwa navyo nikiwa rooom mwenyeeeewe!PHEW!

Neno la kweli hili snowhite..
kitu yafaa kifunikwe kidogo zaidi ili kikupe hamu na mshawasha wa kufungua
kujua kuna nini ndani.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…