Riek Machar awasili Juba . . .

pierre buyoya

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
476
163
Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewasili nchini humo tayari kuchukua wadhifa wake wa makamu wa urais.Hatua hiyo inajiri baada ya safari yake mjini Juba kuahirishwa mara kadhaa .Kundi lake linasema kuwa kucheleweshwa kwake kunatokana na mipango ya serikali na kwamba alipanga kurudi siku ya Jumatano. . .

ac0621f3b01e421186bc45cceeccec83.jpg

62f4c2233b945f0bdc0a5a711e5abeef.jpg

Picha Rais Keir Na Makamu wake Machari . .
 
Ila hawa sijui kama watapatana, maana historia zao zinaonesha kila mmoja ana kinyongo cha ndani sana.
 
Amani ya wapi mkuu?
Ni ama atauawa Salvar kir au yeye huyo Riek machar.
Hawa watu ni maadui hatari, na wamekuwa wakiwindana Kwa muda mrefu sasa na kila mmoja ana kinyongo na mwenzake.
Note my words, tukio baya Sana litakuja kutokea Kati yao.

ndio maana mkuu nikawatakia amani njema,najua hawaelewani kabisa
 
Amani ya wapi mkuu?
Ni ama atauawa Salvar kir au yeye huyo Riek machar.
Hawa watu ni maadui hatari, na wamekuwa wakiwindana Kwa muda mrefu sasa na kila mmoja ana kinyongo na mwenzake.
Note my words, tukio baya Sana litakuja kutokea Kati yao.
UNAWEZA UKAWA SAWA AU SI SAWA MKUU.
 
Back
Top Bottom