Ridhwan JK

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
621
Wana jamii, mimi binafsi simjui saaaana huyu jamaa, zaidi tu ya kujua kama kafisadi kanakochipikia.
Suala langu hapa ninaomba kujua elimu ya huyu mtu, ikiwezekana perfomance zake Darasani kwa kuwa alipewa jukumu kubwa na matokeo niliona hakufiti, so apart kwa kigezo cha Tanzania as MONARCH country, naomba nijue uwezo wake binafsi katika elimu yake kwa wale wanaomjua.
Kimtazamo wangu (binafsi) hata class moja ilikuwa HAIKAI mbili ilikuwa HAiSHIKI ila nawaomba records
 
Back
Top Bottom