Ridhiwani yupo huku sasa!

Ridhiwani yupo huku sasa!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Baada ya kelele nyingi kuhusu ubia wake na kampuni tata ya uwakili ywnye kuhusishwa na ufisadi mkubwa hapa nchini RJK aliamua kujiunga na kampuni hii ya GRK kama mbia(partner) hii ni kampuni ya uwakili inayoundwa na Zephrine Galeba | Projectus Rwehumbiza | James Kabakama | Ridhiwani Jakaya Kikwete

partners.gif

Specialization and Career History

Mr. Kikwete is a young and dynamic legal practitioner with 5 years experience in legal practice having worked with reputable law firms in and outside Tanzania. Before joining GRK Advocates as a partner Mr. Kikwete worked with IMMA Advocates holding different challenging positions from January 2005 to December 2010.
rkikwete.jpg

During the same period Mr. Kikwete was attached to DLA Piper in London, one of ten largest law firms in the world where he was exposed to high level legal practice in the area of project financing.

Both at IMMA Advocates and DLA Piper Mr. Kikwete was involved in various areas of modern day legal practice ranging from legal drafting to major aspects of project financing including due diligence inquiries, loan negotiations, consortium building and mortgage financing. His five years period of his legal practice saw him moving within the ranks of the law firms from legal office to a partner level. Mr. Kikwete is therefore equipped with sufficient administrative as well as technical skills required for running a successful law practice.

Mr. Kikwete was admitted to the bar of advocates in 2009. He is also handling commercial and corporate litigation matters at all levels of court system and quasi- judicial tribunals. At GRK Advocates Mr. Kikwete is a partner in charge of Administration and Business Development.

He is a member of Tanganyika and East Africa Law Societies. Apart from the law degree Mr. Kikwete holds Postgraduate Certificate in Business Development from the Hull University (UK)

Ridhiwani Jakaya Kikwete
 
Hana lolote la maana zaidi ya sifa za kijinga tu anazotafuta kupitia mgongo wa baba yake anayeishi pale magogoni kwa pesa za walipa kodi wa Tanzania.

Hivi kweli huyu dogo anaweza kusimama mahakamani kama wakili kumtetea mtu kisheria na akashinda?

Siasa hajui wala sheria hajui zaidi ya kutanua mjini kwa kuwa ni prince.
 
Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ame-practice katika Mahakama gani Tanzania? Kesi ipi hasa?
And me want ask a question of the same and you but you early me do before. Court of which a case win he Riziwani? no where i heared of winning just stand to defend a thieves of chicken.....a advocate? of where?
 
Mkuu hizo ni sifa za mda tu, na hutazisikia tena mara baada ya uchaguzi mkuu unao tarajiwa kufanyika 2015. Ritz-moko nimesoma nae namwelewa vizuri sana ni kilaza kama .................... yake.

mmh, mie napita!!:rockon:
 
ivo ridhiwani ni wakili? mbona sijawahi kumsikia
Hao ndio wanaopiga pesa ndefu kuliko hao Mawakili unaowajuwa wewe ambao ni Wasomi na Mawakili wa kweli, Ridhiwani ni type ya matapeli ambao wanatumia Taaluma ya sheria kujipatia mikataba haramu yeme malipo kufuru.

Usije kushangaa hata kidogo ukija kuambiwa hiyo kampuni aliyojiunga nayo ndio imepewa mkataba wa kuwa kampuni ya Uwakili na BOT na Tanesco.

Huku tunakokwenda sheria ya utaifishaji haikwepeki ni lazima irudi, ukiwa na Rais dhaifu kama huyu ambaye anashindwa kumdhibiti mwanaye au ni yeye ndio anayeyafanya haya yote kwa kutumia kimvuri cha Mtoto wake ni hatari sana.

Sipati picha JK Nyerere angekuwa na ubinafsi huu sidhani hata kama kina Makongoro wangegombea hata Ubunge kutafuta vipesa vya kujikimu, maana kampuni kama DT Dobie, Scania, Toyota zingekuwa zote mali za Makongoro Nyerere, na Saint Marys school zote ingekuwa ni miradi ya Mama Maria Nyerere.
 
kweli kiongozi.tenda ya kuchukua mahindi kutoka ghala la chakula songea alichukua yeye.barabara ya namtumbo-tunduru pia aliusika
 
Tatizo watz majungu,fitna,wivu na umasikin wa kufikir.alisoma kwa juhud leo kapata mnaleta maneno.tubadirike
Alisoma kwa bidii wapi? sema uoneshwe ushahidi Mawakili wa kweli waliopractice Law na mpaka leo hata vimkweche vya kuendea Mahakamani hawana uwezo wa kununua sembuse huyu unamuongelea huyu Nibebee nibebee nibebeee nibebee nibebeeee Baba JK nibebee mwanao Prince niwe Millionaire.
 
Back
Top Bottom