Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Maccm mnatoana macho
 
ili suhuzika bahada ya kuojiwa na kuoneana ana chochote kuhusu madawa
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea

Mkuu sisi wengine hatujui hebu tusaidie basi huko China huyo Ridhiwani kilimtokea nini?
 
Ridhwani wala familia ya Rais mstaafu wasichukie kwani Ridhwani kuitwa na kuhojiwa imemaliza mzizi wa fitina dhidi yake.
Kabla hata ya Makonda watu walimzushia Ridhwani tuhuma dhidi yake lakini kama alihojiwa hiyo ni dalili ya kufuta tuhuma dhidi ya mheshimiwal
 

Lawama iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…