Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
his royal highness prince Ridhiwan Kikwete of Pwani-chalinze.
Mbona yeye ameanza kampeni kabla. Wazee dodoma mko wapi au kufuli ndio zimeisha!wanajamvi!!
Mtoto wa rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania mh Jakaya Mrisho Ridhiwani Kikwete kugombea ubunge jimbo la chalinze kwa tiketi ya ccm.Habar za uhakika nikwamba tayar ameshakutana na wazee wa chalinze kupata baraka zao zote,habari nikwamba amekuwa akionekana jimboni chalinze kila uchao kutafuta kuungwa mkono
Mbona na wewe unajadili watu? Kumbe tusi unajitukana mwenyewe?stupid mind discuss people, ana haki ya kugombea kwa mjibu wa katiba ya Tanzania.
Mbona na wewe unajadili watu? Kumbe tusi unajitukana mwenyewe?
Labda utuambie tatizo nini Ridhiwani kugombea Ubunge Chalinze??
Jenga hoja sio mradi kuandika tu hapa upumbavu wenu wa kujadili watu.
stupid mind discuss people, ana haki ya kugombea kwa mjibu wa katiba ya Tanzania.
Kwani kuna sehemu imeandikwa kuna tatizo????!!!!
Hivi unajua ukikaa kimya upumbavu wako tutachukua muda sana kuugundua!!!!
wanajamvi!!
Mtoto wa rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania mh Jakaya Mrisho Ridhiwani Kikwete kugombea ubunge jimbo la chalinze kwa tiketi ya ccm.Habar za uhakika nikwamba tayar ameshakutana na wazee wa chalinze kupata baraka zao zote,habari nikwamba amekuwa akionekana jimboni chalinze kila uchao kutafuta kuungwa mkono
Hoja na mantiki ya uzi huu ni ipi??
Maana huyu mtoa hoja anaonesha kama ni issue kubwa sana.
Heri yako ww muungwano kwenye kundi la wapumbavu wenzako!