TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,504
- 28,435
wanajamvi!!
Mtoto wa rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania mh Jakaya Mrisho Ridhiwani Kikwete kugombea ubunge jimbo la chalinze kwa tiketi ya ccm.Habar za uhakika nikwamba tayar ameshakutana na wazee wa chalinze kupata baraka zao zote,habari nikwamba amekuwa akionekana jimboni chalinze kila uchao kutafuta kuungwa mkono

Habari za uhakika kabisa ni kwamba katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze chama cha mapinduzi kitamsimamisha Kada wake rizione Kikwete Kama mgombea wake iLi ipate ushindi wa kimbunga, atakuwa amefuata nyayo za baba yake ambaye alikuwa mbunge wa jimbo Hilo kabla ya kuingia ikulu.. Kila la kheri bwana Riz..!
Kama ni kweli, yeye kama raia mwingine yoyote wa Tanzania, ana haki kushiriki kugombea nafasi yoyote ya uongozi, toka serikali za mtaa hadi serikali kuu, kwa mujibu wa katiba!.
Namuunga mkono kwa asilimia 100%!, pia nawashauri wale wenzangu na mimi kumhusu "jamaa yetu" yulee tuelekeza nguvu kwa kijana huyu, akishinda atakumbuka fadhila, hivyo muda utakapowadia, itakuwa ni zamu yetu!.
Pasco
Mkuu Moudy, kwanza asantekwa kudhani mimi ni intalekchuali, kwa vio hivyo, hiyo hopuless ndio halali yangu.Some times intellectual yako Pasco ni hopeless kabisa!!! Unawaza kujuana na kulipana fadhila,maslahi ya Taifa,vizazi vijavyo na watanzania maskini yatalipwa na nani??!!
Mkiambiwa waandishi mmekuwa machangudoa wa wanasiasa na mafisadi mnang'aka na kuja na maneno ya kujibaraguza,mkiambiwa mmeweka matumbo mbele kwa kutenda kwa minajili ya brown envelopes na U-DC mnajitetea kwa hoja za kipuuzi!!!! Long live kwa wazalendo wa kweli!!
Kama ni kweli, yeye kama raia mwingine yoyote wa Tanzania, ana haki kushiriki kugombea nafasi yoyote ya uongozi, toka serikali za mtaa hadi serikali kuu, kwa mujibu wa katiba!.
Namuunga mkono kwa asilimia 100%!, pia nawashauri wale wenzangu na mimi kumhusu "jamaa yetu" yulee tuelekeza nguvu kwa kijana huyu, akishinda atakumbuka fadhila, hivyo muda utakapowadia, itakuwa ni zamu yetu!.
Pasco
Najua na wewe ni TeamLowasa ili akiukwaa uprezidaa akukumbuke katika ufalme wake wa magogoni hasa katika kitengo cha uSalva Rweyemamu.
Baba rais, mtoto wazr wa feza, mama .....wanajamvi!!