Big up Riziwani
Toka Januari 2016 mpaka sasa Juni 2016 jimbo limepata Ambulance tatu msaada mkubwa kwa wagonjwa na majeruhi wa ajali.
Akizungumza na wananchi wa Jimboni kwake alisema, leo tarehe 24 juni 2016 nimekabidhi magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wanaoishi katika mji wa Chalinze na Miono.
Kazi zinaendelea kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kaziiendelee.
Chanzoridhiwani
Kaleta yy au kaenda kuomba.. Kwan huoni mzigo hapo juu una logo ya koica ... Au pia hujui koica ni nn... Kile kichwa chetu kiliingiza bila promo za koica wala usaidHongera Sana Riz, Kuna mmoja alileta ambulance yule chalii, matangazo dunia mzima Eti TRA wanataka kumlipisha Kodi.. Oooh nitauza gari langu nipate Fedha ya kulipa kodi
Maji je? Anajua shida kubwa ya maji iliopo Chalinze?