Ridhiwani Kikwete: Mpaka sasa Jimbo limepata Ambulance tatu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
7f249e6df7a7e18f813455d1db8ece99.jpg

Toka Januari 2016 mpaka sasa Juni 2016 jimbo limepata Ambulance tatu msaada mkubwa kwa wagonjwa na majeruhi wa ajali.
Akizungumza na wananchi wa Jimboni kwake alisema, leo tarehe 24 juni 2016 nimekabidhi magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wenzangu wa halmashauri wanaoishi katika mji wa Chalinze na Miono.
7056b131763a5e2c1192f058928f1c87.jpg

Kazi zinaendelea kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kaziiendelee.

Chanzo :mad:ridhiwani
 
Hongera Sana Riz, Kuna mmoja alileta ambulance yule chalii, matangazo dunia mzima Eti TRA wanataka kumlipisha Kodi.. Oooh nitauza gari langu nipate Fedha ya kulipa kodi
 
7f249e6df7a7e18f813455d1db8ece99.jpg

Toka Januari 2016 mpaka sasa Juni 2016 jimbo limepata Ambulance tatu msaada mkubwa kwa wagonjwa na majeruhi wa ajali.
Akizungumza na wananchi wa Jimboni kwake alisema, leo tarehe 24 juni 2016 nimekabidhi magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wanaoishi katika mji wa Chalinze na Miono.
7056b131763a5e2c1192f058928f1c87.jpg

Kazi zinaendelea kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kaziiendelee.

Chanzo :mad:ridhiwani
Big up Riziwani
 
Hongera Sana Riz, Kuna mmoja alileta ambulance yule chalii, matangazo dunia mzima Eti TRA wanataka kumlipisha Kodi.. Oooh nitauza gari langu nipate Fedha ya kulipa kodi
Kaleta yy au kaenda kuomba.. Kwan huoni mzigo hapo juu una logo ya koica ... Au pia hujui koica ni nn... Kile kichwa chetu kiliingiza bila promo za koica wala usaid
 
7f249e6df7a7e18f813455d1db8ece99.jpg

Toka Januari 2016 mpaka sasa Juni 2016 jimbo limepata Ambulance tatu msaada mkubwa kwa wagonjwa na majeruhi wa ajali.
Akizungumza na wananchi wa Jimboni kwake alisema, leo tarehe 24 juni 2016 nimekabidhi magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa wananchi wanaoishi katika mji wa Chalinze na Miono.
7056b131763a5e2c1192f058928f1c87.jpg

Kazi zinaendelea kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kaziiendelee.

Chanzo :mad:ridhiwani
Maji je? Anajua shida kubwa ya maji iliopo Chalinze?
 
kwa hiyo toka baba yake mbunge wa jimbo lilelile hadi Rais,jimbo halijawahi kuwa na gari la wagonjwa?Trump yupo sahihi kabisa.
Mkuu Trump yuko sahihi kivipi..?
Dadavua
 
Ukawa wanaisoma Namba .

Wanakalia kujiziba makaratasi hawapo bungeni wala jimboni ,huku ccm ikihudumia wananchi .

Uchaguzi ukifika wanaimba ule wimbo maarufu wa tumeibiwa kura .!!

Hapa Kazi Tu
 
Trump anasema akiwa Rais,kwa akili zetu.inabidi Africa itawaliwe n wakoloni kwa mara ya pili,
 
Hongera!! Bt sasa ufikiri zaid kwenye kuzuiya Magonjwa, tunapenda tusikie siku 1, Ugonjwa wa maleria umetoweka kabsa, magonjwa ya kuhara na yametoweka n.k,.Na hili ndo tatizo kubwa la nchi yetu, viongoz hupambana sana na matawi na kuacha kung'oa mashina
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom