Mkuu huu ndio ukweli. Rdhiwani amekula pesa iliyotolewa kwa ajili ya mradi wa Maji Chalinze. Wahuni wenzake wamecheza dili hela imetoka wakawapiga mchanga wa macho staff wa Mamlaka ya Maji Chalinze.
tuaminishe mbunge zinamfikiaje hela kama hizo ? ni za serikali , au ametoa mtu kufadhili au ikoje tunaomba ufafanuzi vinginevyo tutakupuuza na post zako zote!