Ni takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji.
Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu.
Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati Kikwete Jakaya akiwa mbunge wa Chalinze.
Inaelezwa kuwa Ridhiwani na wapambe wake kama Nasser na Mkosamali wameiba Tsh 450Milioni zilizotolewa kwa ajili ya kununua dawa za kuweka kwenye maji pamoja na kukarabati mitambo iliyokuwa imezongwa na matope.
Taarifa zinasema Ridhiwani na wapambe wake wamezila hizo hela wenyewe bila kuwagawia viongozi wa mamlaka ya maji na ndio chanzo cha taarifa hizi kuvuja.
Kutokana na hilo imeamriwa maji yasitoke kwa vile ni hatari sana kwa afya za watumiaji na pia mitambo ikiingiwa na matope italeta madhara makubwa kiufundi.
Makumi ya kina mama na watoto wameonekana katika viunga vya chalinze na ndoo zao wakitafuta maji. Watoto wameacha kwenda shule ili wachote maji ya nyumbani. Kituo cha Afya chalinze ndio kina hali mbaya zaidi baada ya kukaukiwa maji kabisa.
Ridhiwani anazidi kutumaliza watanzania.