Ni siku moja imepita tangia dateline ya riz na watu humu wanachonga kama mahoka.hebu tusubiri walau siku tatu tukiona kimya ndo tupate la kusema.
Ni wajibu pia kina mtikira na slaa waje na ushahidi wa shutuma zao vinginevo nao ni WAROPOKAJI TU
Mkeshaji, nilichopinga ni kumtukana mzazi idiot na stupid kwa kosa la mtoto. Lugha zozote za kutukana sio lugha za kistaarabu jukwaani.Ni mtazamo wake lakini.
Ni sawa tu na Rz1 alipowaita waandishi na kuwaambia kuwa anatoa siku 7 kwa Dr. Slaa na Mtikila, waandishi wanafanya follow up anawajia juu; hiyo nayo si kujishushia heshima yeye na ikulu.
kaka wanasheria tunakaaga darasan miaka 4,mwenzetu naona ulikaa miak 6 maana nadharia ya burden of proof unaijua jasaMkuu ni jukumu la mtuhumiwa kuprove his innocence. Kisheria ukituhumiwa mwizi na wakati wewe sio mwizi ni jukumu lako ili kulinda reputation yako uende mahakamani kufungua kesi ya kutuhumiwa uongo na kukuharibia image na reputation yako. Dr Slaa na Mtikila wao wamemtuhumu mbele ya jamii kuwa ni billionaire hivyo basi yeye aende mahakamani kufungua kesi dhidi ya tuhuma hizo. Failure to do so mahakama ya wananchi itakuwa imeshamhukumu.
kaka wanasheria tunakaaga darasan miaka 4,mwenzetu naona ulikaa miak 6 maana nadharia ya burden of proof unaijua jasa
Ewe Dr Slaa na Mch Mtikila mnaongoza kundi la watz wenye uchungu na nchi hii tafadhari mfungulieni kesi huyu m.s.e.n.g.e R1 Kwani mali za watz zinaliwa na hii familia ya pale MSOGA BAGAMOYO huku baadhi ya watz wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umasikini tsh 260!
@mdondoaji,mkubwa sheria dunia pote inasema ni juu ya anayetuhumu kuprove na wala si mtuhumiwa.
Every accused person is innocent untill proved otherwise.and it is not up to the accused to prove his innocence but it is up to the accuser to prove that the accused is guilt without any doubt.
So the burden of proving fall on the accuser.mi si mwanasheria na sikumbuki kama hiyo iko kwenye criminal procedure code or what but najua sheria hiyo iko globo
Ha ha!so dogo alikuwa anatishia wazee wazima nyau.
na wewe pia idiot vile vileMkeshaji, nilichopinga ni kumtukana mzazi idiot na stupid kwa kosa la mtoto. Lugha zozote za kutukana sio lugha za kistaarabu jukwaani.
Good point mtama mchungu dogo anaingia ulingoni biila gloves halafu analalama. Hajui ukitaka kuuza utumbo hutakiwi kuogopa nziHapa ndipo anaponishangaza! Aliwaita waandishi kwa moyo safi nao wakaitikia wito. Akapiga mikwara mbuzi yake na ahadi zake, waandishi wanafanya follow up, kwa nini anawakasirikia? Kama ni jambo lake na hakutaka kushirikisha watu angewafuata Dr Slaa na Mtikila awaeleze kimya kimya? Maji ukiyavulia nguo....