Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

Hata mimi kunawashikaji wanaenda kuchukua mzigo kwa huyo mama na huyo mama ni chakula ya mzee makamba wala siuongo wakuu safi sana wanaJF kwakuwa makini na kushuka na data za uhakika.
 
Huyu R1 ni mshamba cjui alikua anaishi msoga kipindi chote mpk zali lilipomuangukia mshua wake! Haoni watoto wa wakubwa wengine walivyotulia? Cheki wa Lowassa ingawa babayao ni fisadi cku nyingi lakini wao wapo kama hawapo huwezi kuwackia hata wakimtetea babayao. Likewise wa Mkapa, Mwinyi, nyerere na wengine. Sasa haka kapimbi cjui kanamapepe gani.. Hata wakina Beno Malisa wanashindwa kumshauri? Anamchokoza Mtikila na mambo ya mahakama, hajui Mtikila na mahakama ni sawa na mchunhaji na kanisa! Atakojoa dagaa round hii.
 


Siyo kote duniani. Rwanda tu hapo, a suspect is guilty until proved innocent by the court of law.
 
Ridhiwani kama kweli wakina Dr. Slaa wamekuonea kwa nini hutaki kuwashtaki? Inawezekana kweli wewe ni bilionea!
 

Jamani mbona mnasumbuka sana na huyo mbopo?ni R1 MWENYEWE KUNA KITU ANATAFUTA HAPO NDIO MAANA ANAJAZBA SANA.
 

Usisahau kuwa mama mtu naye ni mjumbe wa mkutano mkuu sijuwi vidudu gani kupitia mkoa wake wa Lindi. nani hataki siasa ktk familia ya Bwana Mkubwa?
 

Dear Elungata, "......massive character assassination fuelled by drugs,hunger,life frustration by people who have failed to take responsibility regarding their life and thinking...." this including YOU, your sisters, your brothers, your uncles, your friends and all TZnianz, who in one way or another have been affected or frustrated by this dirty system we have now....the one you are tighting your muscles to defend and protect! We are tired...really tired! let us exhaust what we have!
 
Siyo kote duniani. Rwanda tu hapo, a suspect is guilty until proved innocent by the court of law.

Siyo Rwanda tu mkuu ni nchi zote ambazo ni French empire or Territory or any country which is follow French Administration.
 
Wenzake (LIST OF SHAME) watakuwa wamemstua!!!!!!!!!!!!. Kama vp atoke on air ku apologize. Itakuwa ni aibu kwake akishndwa ku implement alichoahidi. (UMMA UNAMSUBIRIA)😛ound:
 
Labda anawavutia kasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tumpe muda zaidi
 
shangaa na wewe watanzania walivyo na choyo,idea za kijamaa ndo zimetujaa,ndo mana watu hawaishi kuoneana vijicho,roho mbaya,mtu akinunua gari fisadi,wabongo bana

hapa sio suala la kuoneana vijicho,inshu ni kuwa kwanini,hakutaja mali zake zote kama alitaka kuwa transparency angetaja hadi hicho kituo cha Mafuta!tafuta mwingine wa kumtetea bwana.
 
namshangaa huyu mtoto badala ya kula Pini kama Mzee wetu Nkapa wa awamu ya Tatu, au tumpe mbinu alizotumia Mkapa kwa kukaa kmya mpaka leo!! ? naye sasa afyate Mkia mambo yake yako kwa watu, tena asijaribu asije kukutana na Papii Nguza UK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…